Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Game ya jana walishikilia sana bomba.
Wakawa wanapiga sana back passes zikawaharibia.
Ndio Morocco wakapata nafasi za kuwafunga goli 2.

Kipindi cha kwanza walianza poa sana, wakafanya recovery sawa kabisa na za wa Morocco, kipindi cha pili wakawa hoi kidogo.
 
Kocha wa kikosi cha South Africa(Hugo Broos) anatimiza mechi yake ya 50 leo
 
Mmmh kwa team ulonayo?? Hata sare hupati ni kipigo tyuuu.
Utaona, kama jana Comoros walliweza kuwakazia wale jamaa, hata sisi hatutashindwa kumkaba Osimhen
 
Sijapentraaaa!! Mnioneshe team nzima ya south, huenda nikajipatia tumizi langu la kwa bed.
😂😂😂😂😂
Ngoja nikuwekee hapa.
Ila nakushauri usichukue utawala binafsi kujilipua wakati kina Vincenzo Jr wako vizuri na available
 
1000458658.jpg

cocastic
 
😀😃 Tatizo huyo ni miyeyusho ukipanga ukutane nae sehemu aji unaishia kusubiria hadi unachoka
Basi milipuo binafsi ishaharibu akili yake sasa.

Ananunua sana matango 🏃‍♂️ 🏃‍♂️
 
Basi milipuo binafsi ishaharibu akili yake sasa.

Ananunua sana matango 🏃‍♂️ 🏃‍♂️
😂😂😂😂😂 Dildo ni mkombozi wangu.
Hivi Thomas nani yulee mchezaji wa England. Sijui anachezea club gan vile,
Nampigia nyeto kila siku, 😂😂😂😂😂
 
Mbona kuna mchezaji niliona picha yake jana hapa sijamuona, hapa anayenivutia ni Mudau na Mokoena.

Kunae huyo mwingine nilimuona jana ndo namtaka.
Hao ni nusu tu.
Ngoja nikuwekee wote.
 
Back
Top Bottom