Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,213
Jana ilikuja ikapoteaNaona LIVE Imegoma kabisa
Jana ilikuja ikapoteaNaona LIVE Imegoma kabisa
Dube huyu huyu wa yangaWanakutana na Kina Dube.
Game haitakuwa ngumu kwao
Mali anashinda
Yaan wapopo shida yao ni utapeli, ila kivingine wako better sanaaa.Wanajua kuzinyuka haswa
Watapigwa nyingiYes Game ya Egypt vs Zimbabwe...
Inapigwa saa Tano...
Zimbabwe walimkamia NIGERIA Wakaokota sareWanakutana na Kina Dube.
Game haitakuwa ngumu kwao
Now hawana timu waleYaan wapopo shida yao ni utapeli, ila kivingine wako better sanaaa.
Kwanini?Jana walichoka sana.
Hapo naenda na Angola 😎Angola vs South ni game ngumu sana hii.
Kina Oshi?? Wanayo bhanaa.Now hawana timu wale
Sijapentraaaa!! Mnioneshe team nzima ya south, huenda nikajipatia tumizi langu la kwa bed.Dadeki 😅😅😅
Mmmh kwa team ulonayo?? Hata sare hupati ni kipigo tyuuu.Tutawapa upinzani mkali sana hapo kesho
Kivipi??Wamorocco waliwachosha.