dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 3,784
- 10,201
Kwa ugandaAmbayo tunaitoa kwa Nigeria ama
Kwa ugandaAmbayo tunaitoa kwa Nigeria ama
Ndio mlitaka kumpeleka Domo? Kufanyaje, kupiga kampeni za ccm?Waaarabu hawanaga dogo
Bongo hamna msanii wa kuperform kwenye shughuli kama zile.Ndio mlitaka kumpeleka Domo? Kufanyaje, kupiga kampeni za ccm?
Waliacha kumsikiliza Motsepe wakaendelea kushangilia yaan ni watu wa vibeWaaarabu hawanaga dogo
Motsepe mwenyewe hamna cha maana alichokisemaWaliacha kumsikiliza Motsepe wakaendelea kushangilia yaan ni watu wa vibe
WamegomaMods twende LIVE