Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

1000447837.jpg
 
1000447953.jpg

Hii game itakuwa yakukatana na shoka.
Bonge la Mechi!! Kusindikizia Xmass
 
Afcon ya Safari hii itanipa sana hela Vibonde wako wengi kila wakicheza ni mwendo wq kuwaua tu... Mfano Tanzania kwenye kundi lake unamuua mechi zote kasoro na Uganda tu maana wote hao ni matahira lolote linatokea.
 
Back
Top Bottom