Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,376
- 80,249
Wekeni helaHuyu kipa wa Comoros ni noma sana
Wekeni helaHuyu kipa wa Comoros ni noma sana
Kazingua kinomaRahisi ilikuwa kugawa tu pale.
Wako vzr, boli lao linatembeaUnawaonaje lakini?
Bonge la baoGoli kalli sana
Lile kariakoo to vikindu wewe ungewezaComoros wanashindwa kushikilia bomba