Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,375
- 80,246
WatakomaJumanne wanakazi yakumkaba Osimhen
WatakomaJumanne wanakazi yakumkaba Osimhen
Penalty inasakwa hapa!Mwenyeji kajichanganya aisee
Sahii pia Ibrahimu alijisogezea Mpira Kwa mkonoHajaguswa
Usiombe yakukute mwanangu mswalie mtume 😄Jumanne wanakazi yakumkaba Osimhen
Mzuri sanaHuyu Rafik Said ana kitu
SahauMorocco atabeba kombe 💯
Morocco timu hawanaPenalty inasakwa hapa!
Hawa natamani Leo kesho tucheze nao tuwafunze soka sisi watoto kutoka KinshasaWatapigwa, kama ndio mchezo wao huu