GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,553
- 108,889
Kaondoka na tatizo kama alilokuwa nalo Baba yake na likamuondoa baada ya kudumu nalo kwa muda mrefu ila huyu Mtoto kadumu nalo kwa muda mfupi.Naona sura yake imepoteza nuru.. sijui shida ni nini? Ila GENTAMYCINE ni mtaalamu wa biology labda anaweza kutuambia nini shida.
Ngoja GENTAMYCINE niendelee Kusikiliza Wimbo wangu ninaoupenda wa 'Inde Monie' wa Kanda Bongoman ambapo 'Dally Kimoko' amelikung'uta vyema sana Gitaa lake zuri la Solo mwanzo mwisho.