Uchaguzi 2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

debate bila huyo aliyeko madarakani hainogi maana ndo anayejua jinsi serikali yake ilivyofanya kazi,au mnaogopa debate kwa vile hajui english wala kiswahili fasaha
Debate wanafanya wanafunzi na mabeberu ili wawadanganye umbumbumbu wa ufipa!
 
debate bila huyo aliyeko madarakani hainogi maana ndo anayejua jinsi serikali yake ilivyofanya kazi,au mnaogopa debate kwa vile hajui english wala kiswahili fasaha
Kumbe lengo la debate ni kupima nani mahiri wa lugha! Hatuchagui mtaalam wa lugha, tunachagua kiongozi mkuu wa nchi kwa kuangalia anakwenda kusimamia sera zipi.
 
Kumbe lengo la debate ni kupima nani mahiri wa lugha! Hatuchagui mtaalam wa lugha, tunachagua kiongozi mkuu wa nchi kwa kuangalia anakwenda kusimamia sera zipi.
sasa kinachotumika ni nini kama siyo lugha? Hayo maendeleo unayaelezea kwakutumia ishara kama bubu ?
 
acheni kukwepa debate maana hamjui english wala kiswahili sanifu ,mgombea gani hata kiswahili hajui
Unafikiri kishule zaidi sisi tulishatoka huko kwani tunashindana kujua lugha? Si uende shuleni ukashindane kujua lugha??!!
 
Shule zote za secondary, Leo hamna vipindi walimu wote na wanafunzi ni kwenye mkutano wa ccm, ni amri na sio ombi! bado kuna wasanii...
Halafu jamaa anatamba kabisa, kwamba wamejaza
 
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anatokea Rungwe.
Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia Mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu.

2. Mfumo dume.
Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao.

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika.
Ametumika sana kuwakandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015.
Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Watu wa Mbeya wanajitambua. Watavaa Tshirt na Kapelo za CCM, watapanda malori yanayowakusanya kutoka vijjini, watakuja kumuona RayVan na Diamond lakini KURA nikwa SUGU. Mpende msipende

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini.
 
Mtaleta watu toka Mbeya nzima.
Hawa hapa wanagawiwa jezi waingie uwanjani baada ya mkutano zinakusanywa wanakwenda gawiwa mkutano mwingine wasiambukizane chawa tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20200930_100227.jpg
    Screenshot_20200930_100227.jpg
    54.6 KB · Views: 2
Hao mtakao wapata kwenda kwenye mkutano kwa malipo ya 5,000 muwape muda wa kuchemsha viazi vitamu na kuchukua chupa za maji. Msishishe watu na njaa wengine ni wagonjwa.
Kuna thread ulisema wee ccm damudamu utakuwa upo . Ukiimba ccm mbele kwa mbele
 
Inasemekana waliodeki barabara jana ni chademu waliotumwa kuzomea na kumwaga maji, baadae wakaunga juhudi juu kwa juu, kama wengine wao wanavyofanya.
Huenda wakalamikia kuwa walinunuliwa kwa buku 7
 
Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya na mkutano huu utarushwa mubashara kupitia TBC, Channel ten, Star tv, ITV na mitandao mbalimbali.
Karibu.

Updates;
Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui.

Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani.
Cheza na kila sehemu lakini achana na Mbeya. Mbeya wameikataa CCM, Mbeya wamemkataa TULIA. Kila utakachokifanya ujue wao wana msimamo wao, watakuheshimu kama Rais kakini utashanga maamuzi yao. Mbeya watamchagua Sugu ndiye Rais wao na Mbunge wao. Mbeya watapiga kura na kuzilinda na wala msithubutu KUZIIBA. Damu itamwagika yaweza kuwa ya Polisi, Mkurugenzi wa Uchaguzi au mwananchi Lakini mwaka huu DHULUMA haina nafasi kwa Mbeya.
 
Mimi nipo hapa hotel ya rift valley top roof nawachora tu 'wanavyokokotwa' raia kwa kulazimishwa.
 
Back
Top Bottom