Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Soko la Karume lateketea kwa moto usiku

Poleni sana... Intelijensia ya Kova haikuliona hilo
 
Hali ikoje kwa mda huu ? Wadau ambao mpo eneo la tukio je kuna hasara kiasi gani ? Na vipi breweries pia pamefikiwa na moto dah asee na vp kule mchikini kwa akina mwl mudi wa pure maths ?
 
unajuaje kama we ndo mjinga kwenye mtazamo wa huyo jamaa ? Mara ngapi serikali inapiga kelele kuwaamisha machinga na wakawagomea au ata ujui kinachoendelea ? Poleni sana wamachinga gesi yenu wameshachukua bado vibanda vyenu wameyaunguza poleni sana !
Unaanza kuleta ujinga kwenye mambo ya msingi.
 
Jambo La Kitoto Mtoto Kumwambia Mtoto Mwenzake, Tunasema Watoto Wanacheza. Jambo La Kitoto Mtoto Kumwambia Mtu Mzima Tunasema Mtoto Anakua Ila Jambo La Kitoto Mtu Mzima Kumwambia Mtu Mzima Hapo Kuna Walakini. Ninyi Mliofikia Hitimisho Kuwa Tukio Hili Lina Mkono Wa Serikali Mnapaswa Kupimwa Akili. Huwezi Kutoa Tuhuma Kama Hizo Kwa Kukurupuka Bila Hata Na Ushahidi Wowote. Mtu Upo Huko Mchambawima Umekaa Nyuma Ya Komputer Eti "eti Serikali Imehusika" Acheni Uchonganishi Pasipo Kuwa Na Ushahidi Wowote
 
Poleni,ila nadhani ni moja ya strateji za safisha jiji. Palikua kama Kibera slums ya kule Kenya!. Hamieni soko jipya la Machinga complex.
 
Jambo La Kitoto Mtoto Kumwambia Mtoto Mwenzake, Tunasema Watoto Wanacheza. Jambo La Kitoto Mtoto Kumwambia Mtu Mzima Tunasema Mtoto Anakua Ila Jambo La Kitoto Mtu Mzima Kumwambia Mtu Mzima Hapo Kuna Walakini. Ninyi Mliofikia Hitimisho Kuwa Tukio Hili Lina Mkono Wa Serikali Mnapaswa Kupimwa Akili. Huwezi Kutoa Tuhuma Kama Hizo Kwa Kukurupuka Bila Hata Na Ushahidi Wowote. Mtu Upo Huko Mchambawima Umekaa Nyuma Ya Komputer Eti "eti Serikali Imehusika" Acheni Uchonganishi Pasipo Kuwa Na Ushahidi Wowote

...nyuma ya kompyuta au mbele ya kompyuta?.
 
dah,inatiza huruma,ingawa hawa wamachinga walikuwa wanaudhi kushikashika wanawake bora waondolewe tu kiaina.Yani ulikuwa ukipanga kwenda karume unawaza sijui uvae miba.
 
Intelijensia yetu sisi kama geshi la porishi, hawa waliochoma ni CHADEMA.
Tuko pamoja wananchi NSSF tutajenga Karume Tower.
Kidumu . . . .
 
Ulikuwa unafuata nini huko kama price tag yako ni kutogusana watu? Wenye Pesa zao huwa wanafunga mitaa na maduka ili afanye shopping! Unajifanya Victoria Beckham unanunu chup za mitumba...!
 
Ni taarifa mbaya sana kwa Vijana wa Dar es Salaam. Mitaji yao imeteketea, sijui watarudishaje
Marejesho.
Ova

YaanI I can imagine...watu wamewekeza masikini...serikali ya ccm inajikosesha kura yenyewe mwakani..na ndo wanazidi kutengeneza majambazi na mbwa mwitu
 
Yashafika na kusepa. Its too big for them.

Ss kwanini waitwe zimamoto wakt moto wenyewe unawashinda..watafutiwe jina jingine...ingekua inaungua ikulu wangesepa.? Walishaambiwa kuwa n chezo hilo
 
...aisee walioko serikalini si ni watu mbona hawana huruma....afu wana technic ya uwashaji moto isiofeli hata ukuta wa tofali moto unaweza kuanzia hapo hapo na ukawaka pasipo kifani.
 
Sasa umefika wakati wa kupangilia mji,hongera dogo Slaa.
 
Jambo La Kitoto Mtoto Kumwambia Mtoto Mwenzake, Tunasema Watoto Wanacheza. Jambo La Kitoto Mtoto Kumwambia Mtu Mzima Tunasema Mtoto Anakua Ila Jambo La Kitoto Mtu Mzima Kumwambia Mtu Mzima Hapo Kuna Walakini. Ninyi Mliofikia Hitimisho Kuwa Tukio Hili Lina Mkono Wa Serikali Mnapaswa Kupimwa Akili. Huwezi Kutoa Tuhuma Kama Hizo Kwa Kukurupuka Bila Hata Na Ushahidi Wowote. Mtu Upo Huko Mchambawima Umekaa Nyuma Ya Komputer Eti "eti Serikali Imehusika" Acheni Uchonganishi Pasipo Kuwa Na Ushahidi Wowote

ni jambo la kipumbavu zaidi kutojua unasema nini au unaelewa nini

maana unakua kama hao wanaoilaumu serikali

vipi faya si jirani tu na soko?? imekuaje hawakufika on time??
 
Intelijensia yetu sisi kama geshi la porishi, hawa waliochoma ni CHADEMA.
Tuko pamoja wananchi NSSF tutajenga Karume Tower.
Kidumu . . . .
Mkuu hapo Sijakuelewa una akili timamu au una hamu tu na matusi k.enge wewe..!! Chadema wanaingiaje hapo?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Intelijensia yetu sisi kama geshi la porishi, hawa waliochoma ni CHADEMA.
Tuko pamoja wananchi NSSF tutajenga Karume Tower.
Kidumu . . . .

sipati picha kova atauzaje sura kwenye media kupitia janga hili.nasubiri kwa hamu taarifa ya saa mbili usiku.
 
Back
Top Bottom