Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sidhani kama ni sahihi kutilia mashaka kauli ya kenge kuhusu mamba. Waziri Sophia Simba anajua anafanya nini na kwa kweli zingatia kabisa kuwa wizara mbili nyeti na hasa usalama wa taifa na takukuru zinaangukia sana katika wizara inayoshughulika na masula ya utawala bora, anajua anafanya nini.

Hili la madawa ya kulevya, mmhmhh



MLEVI MARA ZOTE NI MKWELI
 


Hii kali na kuna haja ya kufunua kilichofunikwa
 
This was a ploy by CCM to lay a trap for MENI. This idiot got in the net!!!!!!!!!11
Now let him lump it! You think they will forgive him for his newspapaer THIS DAY that is anti CCM?
Mengi should have known this is coming...he claims to be a loyal Tanzanian but now youll see!!!!!!!!!!!
This is the intervl.............
 
Let truth prevail..............mengi is on the way out!!!!!!!!!!!!!!ccm will finish him.................
 
Tena sio taarabu tu.bali ya enzi zile za wakina Hadija kopo na nasma kidogo,na tusubiri mipasho zaida toka kwa mama kilango -patakuwa apatoshi hapo.
 
Inapotokea waziri anaehusika na utawala bora na yumo kwenye chama tawala akiwatangazia umma hakuna aliemsafi CCM..JAMANI wengi wanakuja na mawazo tofauti kwangu mimi''anamaanisha

RAIS...NAE fisadi
Baraza la mawaziri nalo MAFISADI
WANACHAMA WA CCM WOTE MAFISADI
WANAOKIPIGIA KURA CCM MAFISADI
KATIBU WA CCM FISADI
HALMASHAURI KUU ZOTE ZA CCM MAFISADI
UMOJA WA VIJANA CCM (UVCCM) MAFISADI

Jamani naomba niweke wazi pamoja na maneno machafu yaliomtoka mama yetu ama kwa bahati mbay ama kwa makusudi naomba niwahikikshie ccm ninayoijua mimi wapo watu wasafi...na watu hao hata siku moja utokaa kusikia wakipewa madaraka maana watakuwa kinyume na familia ya mafisadi nahivyo kuweka usalama wa serikali ya CCM matatani...mama simba labda umeingia zam na kukuta pesa zinachotwa kama njugu na kuchanganyikiwa nazo napenda kukuhakikishia kuna waliowahi kukataa pesa za mafisadi kama hizo mnazopokea kwa kina ROSTAM...na wengineo...
 
It is very warm to witness our democracy maturing. Swali ni moja. How are we?--as a people, going to deal with the tremors of maturing democratic processes. Can we maintain our cool and keep on nurturing democracy or kuwekeana chuki na kuwa tayari kuingia vitani?

We have a clear choice, that is 2010. In mean time, we can maintain our cool and stopping the hatred that is growing rapidly amongst wabongo.
 
mbona SS hajawatolea maelezo EL,RA na membe jinsi wanavyoiyumbisha nchi. maelezo yake yamelenga watu walewale
 

Ukweli asioukubali ni kuwa yeye "amelewa/mlevi". Kwa maana hiyo sio mara zote!
 

Mkuu PJ, nchi nyingine waziri wa juu kama huyo kuropokaropoka maneno ya hovyo namna hii angeshafukuzwa kazi siku nyingi sana, lakini huyu naye Kikwete anamuogopa kumuondoa maana anaweza kugeuza kibao na kumpararura Kikwete kuhusiana na kampeni zake za kuingia Ikulu 2005. Kikwete kimyaaaa! kwa mara nyingine tena. Kweli Watanzania tuna kiongozi mbovu. Hata kumuita kiongozi inatia kichefuchefu maana hana anachoongoza yupo yupo tu.
 
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na neno pashkune; dikumbuki maana yake halisi ila linaendandana sana na tabia za mama Sofia Simba. Tangu aingie kwenye siasa, sijawahi kumskikia akisema jambo la maana. Ila kwa tunaoumjua mambo yake ya mitaani hatushangai kumwona anaropoka hivyo, ndiyo maana nasema kuwa Pashkune nie neno linafaa sana kumwelezea huyu bibie.
 
Mkuu wangu.
Nakusihi usimfananishe huyu mama na Robot kwani sijawahi kusoma uropokaji wala matusi ya Invisible hapa jukwaani. Aidha Robot ni kiongozi wa kupigwa mfano kwani anaprommote na kupractice demokrasia kuliko uwajuao. Kwani anaweza kupigwa madongo na SISI bila kumban mtu. ila ukiinsult others anakushukia kama mwewe.

Hivyo ktk mfano wako (labda si kwa maana mbaya) mtoe ROBOT ktk rail
 

Labda alishawahi kukutana na rungu la JF akawa banned japo asichojua kuwa wanaoteremsha rungu ni mods na siyo Big Brother Invisible
 

Inawezekana alishawahi kukutana na rungu la JF asijue kuwa ni kazi ya mods akakilimbilia kufikiri ni Big Brother Invisible.
 


hii meli inaenda mrama abiria inabidi tutafute namna ya kujiokoa uozo uozo ndani ya serikari yetu na uongozi wake kwa ujumla
inatisha sana
 
Yaani huyu amma anaonyesha jinsi alivyo mshari yaani hoja zake zote azitoazo ni zile la he he he he type! Sasa hapa ni kama anasutana na watu huku kaweka kidole juu na sketi kaipandishia kiunoni- shame on her and aliyempa huo uongozi!! uozo mtupu
 
mjadala wangu na Zitto nitajaribu kuutoa kwenye PDF kwani naamini ni mojawapo ya mijadala muhimu sana humu katika kuelewa demokrasia yetu.
 
Mimi napata tabu kuamini kuwa uoga wa Rais ni kuumbuliwa na watu hao (wadogo sana kimadaraka na wenye ushawishi finyu). Ukweli ni kuwa, anaweza akawafanya lolote bila wao kumuumbua kwa lolote.

Naamini kuwa Rais mwenye nia, hata kama aliingia madarakani kwa njia zisizokubalika, Katiba ya nchi inamlinda sana. Kumbuka, hakuna mtu anaeweza kuweka pingamizi la matokeo ya uchaguzi wa Rais katika mahakama zetu. Vile vile, kashfa yoyote kwa Rais wa JMT ni kosa la jinai.

Naamini tu kuwa Rais ameamua kuachia maswahiba wake wajinome na chochote kinachoweza kuwafanya wanufaike na rasilimali za nchi hii. Hakuna uoga wala hofu ya namna yoyote. Ameamua kuachia mambo yaende kama yalivyo, BASI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…