Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,097
- 43,309
- Thread starter
- #1,021
Hivi alishindwa nini kusema "watano"!?
Mkuu, kumbe Mwalimu alikuwa kiuwembe enhee...tupe basi ushahidi alijirusha na nani...hii haihitaji DNA kama ya Mama Sophia...kumbuka wewe ni Mzee wa facts na unaongea facts tu...prove your self, eti Nyerere alijirusha na nani...?
Hivi alishindwa nini kusema "watano"!?
Mkuu Sophia Simba sio muislam ni muumini wa kanisa la MAMA LWEKATARE. WEKA RECORD VIZURI.
- Mkuu Mtanzania, kwa kawaida huwa nina tabia ya kukataa upuuzi regardless unaelekezwa kwa nani, samahani sana kama nimekukwa za na huo mfano wangu nia haikuwa kutomtendea haki Mwakalinga, nia na madhumuni ilikuwa kuweka wazi kwamba pamoja na kushuka sana kwa maadili ya uongozi Tanzania, haina maana wananchi wote pia tumeishiwa maadili, kuna ambao bado tunayo, tunayasimamia na tunayaishi, na tunazikataa kabisa hizi siasa za kwa kuwa mimi ni fisadi, basi ni lazima nihakikishe wote tunaonekana mafisadi,
- Hii tabia mpya iliyozuka ya viongozi uchwara na machangudoa kama Sophia, ya kuamka tu kuanza kuongea pumba bila facts, kwa Waziri Wa Ofisi Ya Rais anayesimamia Takukuru, anasimama mbele ya kamati muhimu kama hii ya Mwinyi na kujigamba kwamba CCM hakuna msafi, na kwamba Lowassa ni kiongozi bora na hana makosa yoyote, ni lazima wananchi wastaarabu kama mimi tuikatae na tutaikataa mpaka mwisho wa dunia.
- Katika kuongea siasa huwa tunatumia mifano yote ya kisiasa, Mwakalinga aliposhutumiwa hapa JF kuwa amepokea hela za Lowassa nilikuwa wa kwanza kusimama kama sasa kutaka facts, aliposhambuliwa tena hapa JF kwamba amepitia Monduli kwa Lowassa pia nilikuwa wa kwanza kudai facts kama ninavyodai facts kuhusu huu upuuuzi wa Sophia, na ahsante kwa kunikumbusha kwamba Sophia ameongea to the public, ninavyofahamu ni kwamba aliongea kwenye kamati tu, ambako hakuna waandishi wa habari wala vyombo vya habari, lakini nimekusikia sana mkuu na samahani sana mimi nilidhani kua hizi ishus zinafanana za kupakana matope,
- Again samahani sana na sitarudia tena mkuu, isipokuwa tu simtetei kiongozi yoyote, mimi huwa ninasimamia principle na sio watu fulani ukiwekwa ukweli sawa, lakini huu upuuuzi wa mitaani hapana bado hili taifa tupo wenye kusikia aibu, na kutumia commonsense as opposed na hawa kina Sophia,
- Again, Mkuu Mtanzania samahani sana kwa kukukwaza, my bad na it won't happen again, promise!
Field Marshall Es!
Usalama wa Taifa uko chini yake na anayewajua yeye wanne.Huyo wa tano nani?
Hivi huyu Mengi kwanini anasumbuka na hawa wendawazimu?
hawa wapuuzi; yeye kasema kadi yake ni ya mwaka fulani, ya namba fulani imetolewa Kisutu; huyo mtu wa CCM anatakiwa kusema "hiyo kadi ni yauongo, kadi yenye namba hii haipo, na tawi la Kisutu halikutoa kadi hiyo tarehe na mwaka huo"...
Habari imekwisha; lakini katika wazimu wao wanataka mtu awapigie magoti, awalambe lambe, awamwagie maua na kuwaimbia wimbo wa CCM nambari one.
Mkuu unamkumbuka LUCY CELINA LAMECK?
Alikufa na nini vile?
habari za nyongeza kutoka ndani ya kikao dodoma
jamanihakuna jambo ambalo halikuzungumzwa mzindakaya ndie aliependekeza lowassa,rostam waitwe na mjumbe mwingine akasema bila kumsahau membe na speaker .
hiovyo sophia katika kujibu hiyo hoja akasema jamani hakuna jambo linaloshangaza kama anavyosikia edward edward ,edward kafanyia mengi hii nchi lakini hata wanaowanyooshea kidole sio .
-akamtetea mkapa kwa dakika kumi natano kuwa hawezi kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za uchochezi kutoka nje,kama yaliyotokea kwa chiluba sio rahisi.
pia akasema SFO IMETOA taarifa kamili kwamba chenge hela yake aliipata kihalali na hivyo hana kesi na hatafikishwa mahakamani.
akasistiza kuwa wanaonyoosha kidole na wao sio wasafi

Inawezekkana alipata cha Mbeya, huwezi kujua kina mama zetu wa siku hizi hawa.