mjadala wangu na Zitto nitajaribu kuutoa kwenye PDF kwani naamini ni mojawapo ya mijadala muhimu sana humu katika kuelewa demokrasia yetu.
hatari sana JK ypo wapi au ndio anajiandaa na uchaguzi ujao anaogopa asije maliza maneno mapema
hatari sana JK ypo wapi au ndio anajiandaa na uchaguzi ujao anaogopa asije maliza maneno mapema
huyu mama anaandamwa na mapepo mengi tu mengi sana yaani ni uncountable...kwanza mapepo aliyoyaendea kwa waganga wakati wa UWT...na yule mmama alimwonnya asishiriki kwenye ushirikina...haya yanayotokea ni mapigo na bado mengi
mapepo ya ndoza za watu haya yanamsumbua lakini kwa ustahi...hayamjeruhi sana nahisi bado ajaingia kwenye anga shufwa akawewezeka vilivyo......
mapepo ya UFISADI haya ndio kiongozi namba moja ndio yanayomfanya huyu mama yuko radhi ata kumtukana babake/mamake mzazi ili mradi kuyafurahisha haya mapepo na yeye kuneemeka kwenye account zake...haya mapepo yana muda wake...ukishajeruhi kama mjeruhiwa akisimama na MUNGU hakika account inaisha...inakuwa aibu kwa familai...mama simba huo ni msaada wa bure uitaji kwenda kwa sheikh yahya
..
..naomba mjadala wa Sophia Simba kushinda uchaguzi wa UWT uletwe hapa. baadhi yenu mlikuwa mnamsifia huyu Mama leo mnamgeuka.
Julius,
..halafu kwanini huyu Mama anashutumiwa kwa ufuska wakati tunavumilia viongozi wanaume ndani ya CCM ambao ni mafuska zaidi yake?
..naomba wanaomshutumu Mama Sophia Simba wawataje na hao wanaume anaoshirikiana nao ktk ufuska wake.
Wewe umejua vipi dini ya Sophia Simba? Uboko haram utakumaliza
HA HA HA HA !!!Wewe umejua vipi dini ya Sophia Simba? Uboko haram utakumaliza
Jokakuu,
wanaume aliotembea nao Mama Simba yalitajwa hapa weekend hii. Mimi sitaki ugomvi na watu -- pitia hii thread kwa makini utaona majina ya viongozi wa juu wa ccm yametajwa.
Mkodoleaji said:Unajua vitu vingine jamani ni kuwa wastaarabu kidogo. Yaani mtu kuwasema wenzie kwenye kikao basi imekuwa shida mara katembea au kazaa na nani basi ili mradi mtu aonekane hana maana. Sasa hao mnaowatetea wamezaa na akina nani au ni wangapi wanaishi wenzi wao wa ndoa? Nadhani cha msingi nikuangalia kitu kipi mtu kasema na kwa mazingira yepi. Yule mama kaongea yale mambo ndani ya kikao cha chama chao, hatujamsikia akiwaita waandishi wa habari na kuyasema hayo halafu bado watu wanamwita mropokaji au kakurupuka. Kama mkurupukaji mbona hakuongea kabla ya kikao cha chama chao?
Jokakuu,
wanaume aliotembea nao Mama Simba yalitajwa hapa weekend hii. Mimi sitaki ugomvi na watu -- pitia hii thread kwa makini utaona majina ya viongozi wa juu wa ccm yametajwa.