Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Wajinga ni wale wanaodhani wanajua Ids za kila member hapa JF

- Irrelevant to the topic at hand na ndio ujinga wenyewe!, tizama topic ya Salim mwanzo mpaka ilipofikia mtu mmoja tu something is wrong somewhere Bwa! ha! ha! I mean never seen this childshlike before!

FMEs!
 
What kind of relevance are you asking for...ni wewe uliosema kuwa ...si Malecela tu hata Mwalimu nayeye wanawake alikuwa nao...kumbuka ulitaka kututajia mpaka majina ya wanaume aliozaa nao Mama Sophia...na ukajinata kuwa una facts za kutosha kuthibitisha...ithibitishie JF hapa, wanawake wa Mwalim Nyerere walikuwa nani na nani...najuwa facts unazo tu...vinginevyo utakuwa umezulia Mzee wa watu(RIP)...na kumvunjia heshima wakati amesharejea kwa Mungu wake...hawezi kuja hapa kujitetea...au hana watoto humu JF, kama Malecela na kilango, wa kumtetea...utakuwa hujamtendea haki hata kidogo,ili nisikuone mwongo na kuanza ku doubts kashfa zako kwa Mama Sophia...thibitisha hapa hao wanawake aliokuwa nao Mwalim...be honest and just kwa Baba wa taifa.

- Mkuu ufike mahali ukubali kuwa yamekushinda, sasa kaa pembeni uachie wanaotaka kujadili kamati na matokeo yake, ya maneno ya Malecela na Mwalimu aliyeyaleta ni wewe sasa suka au unyoe!

FMEs!
 
Hii katika mabishano ya kifalsafa inaitwa "ad hominem" argument, the oldest trick in the book.

Badala ya kuaddress arguments zilizoletwa dhidi yako, unabadilisha maada na kumu attack mpinzani wako personally na kuharibu credibility yake.

Ingekuwa vizuri kama mheshimiwa angejibu shutuma tuhuma kwanza kabla ya kuwashambulia watuhumu katika an "ad hominem" attack.
 
Halafu mnasema huyu mama kichaa!Huyu mama siyo kichaa huyu isipokuwa ameamua kumwaga ugali baada ya hao wanaojiita wapiganaji kumwaga mboga ili wakose wote.
Mkuu Wazalendo shukran mkuu.Kama una mengi zaidi ya hiki kikao tumwagie mkuu na sisi tufaidike
.
Ukitaka kumuuwa mbwa mpe jina baya!
 
.
Ukitaka kumuuwa mbwa mpe jina baya!

- Very strong point, amepokea hela za harusi na kampeni za urais ambazo ni za kifisadi! Ushahidi hapana sio lazima ila lazima mheshimiwa ajibu tuhuma ama sivyo ni kweli mchafu, Only in Tanzania!

- Ni kweli ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya! finally you are talking!

FMEs!
 
sasa huyu katibu mwisho wa siku naye anaweza kuwa waziri, na sijuhi tutegemee nini kutoka kwa mtu kama huyo, hata kama Mengi ni fisadi lakini mimi point yangu hipo kwenye maswala ya kutoa fact
Mengi kataja tarehe na mwaka wa kujiunga CCM, kataja Tawi na katoa kadi namba, sasa cha ajabu hutyo katibu kaamua kukana bila facts, angetuambia hiyo tarehe ya kuandikisha jina la mengi hakuna na hiyo namba ya MEngi haipo CCM au hiyo namba ni Kadi ya Fulani na si kukurupuka tu na kuongea kwa sababu ya pressure ya fulani
 
]...[/B]Mwalimu alimuita Malecela muhuni, kwa tabia zetu za Kitanzania ikiwa na maana ana wanawake wengi, kitu ambacho na Mwalimu alikuwa nacho yaani wanawake wengi, unless una maana Mwalimu alikuwa na maana nyingine labda uiweke hapa....

FMEs!
Hayo ni maneno yako ww,umeyaleta ww...sawa?
Tupe facts umemzulia Mwalimu kuwa ana wanawake wengi sana...
thibitisha kauli yako simple...kumbuka nilishakuonya awali kuwa ukianza kumtukana Mzee wa mwenzako hubakishi...umeona sasa...nakutahadharisha tena ukiendelea kama hivi utakuja watusi mpaka wazee wako...be careful!
...ya maneno ya Malecela na Mwalimu aliyeyaleta ni wewe sasa suka au unyoe!

FMEs!
Hayo uliyasema ww kila kauli haipiti bure hapa JF, bila ya mizani ya ukweli...thibitisha...tusikuone mwongo.
 
Kumbe Mirembe wende wengi ndani ya CCM, mpaka Guninita?
 
Hayo ni maneno yako ww,umeyaleta ww...sawa?
Tupe facts umemzulia Mwalimu kuwa ana wanawake wengi sana...
thibitisha kauli yako simple...kumbuka nilishakuonya awali kuwa ukianza kumtukana Mzee wa mwenzako hubakishi...umeona sasa...nakutahadharisha tena ukiendelea kama hivi utakuja watusi mpaka wazee wako...be careful!

Hayo uliyasema ww kila kauli haipiti bure hapa JF, bila ya mizani ya ukweli...thibitisha...tusikuone mwongo.

- Naona ya Sophia yamekushinda, ngoja niwahi Church mkuu, later! ila next time wonye watoto wako au familia yako sio mimi, huwezi kunionya wewe huna huo ubavu!

FMEs!
 
Hivi jamani kupokea mchango wa harusi ni ufisadi? nani kati yetu ameoa bila ya mchango? Tuacheni siasa za uabunuasi humu ndani!
 
Heeeeeeeeeeeeee!

Hujafa hujaumbika!...Kumbe huyu mama ana Mdomo hivi!..Kweli baraza la mawaziri bongo ni sawa na kundi la taaraabu!

Sasa maneno haya yako huku nje mitaani, na tuamue cha kufanya na hawa watu,... si wanatuongoza sisi?...

Si tumewapa madaraka kwa dhamana?..Tunawaogopa?

Ndio maana wenzetu wanasema huwezi kuchanganya mambo mawili, mapenzi na kazi ,kwa kauli za sofia simba zinamainisha dhahiri shahiri kuwa mkuu wetu amelipalilia shamba la sofia simba .
 
- Naona ya Sophia yamekushinda, ngoja niwahi Church mkuu, later! ila next time wonye watoto wako au familia yako sio mimi, huwezi kunionya wewe huna huo ubavu!

FMEs!
Bora ukatubu maana hiyo mitusi uliyoporomosha humu si mchezo....we kijana,masikio hayazidi kichwa Wazee wako tunakuonya ww unaendeleza ukaidi...tuseme ndo utaendelea kuwatusi mpaka wazee wako?
HAPPY BIRTHDAY TO YOU kabla sijasahau, bye!
 
- Irrelevant to the topic at hand na ndio ujinga wenyewe!, tizama topic ya Salim mwanzo mpaka ilipofikia mtu mmoja tu something is wrong somewhere Bwa! ha! ha! I mean never seen this childshlike before!

FMEs!


duh mazee kama ulikwenda shule basi walimu wako walipata shida sana na hiyo ndonga!
 
Hawa watu wanne wanaoharibu nchi si wakamatwe wapelekwe polisi..kwani wako above the law?.huyu mama vipi..si ndio anayo dhamana ya kulinda usalama wa nchi? aagh boring stories..
Any how wananchi tujiandae kuiaibisha CCM ..ni muhimu chama hiki kiondolewe..can't wait 2010! in between kuna wapuuzi wataanza kuwadanganya wana kondoo kwamba jamaa JK ni mwana wa mungu...ndiyo huwa napopata akili za mijitu mimgine imekula nini?? wakati wa uchaguzi..lol
 
Sio kuwapigia magoti.
Ukweli ni kwamba, wana namba za kadi na majina yote ya wanachama wao mkoa wa Dar na jina la mengi halipo.

Yaani wewe unaamini kabisa kauli hiyo? Na kwamba wameweza kupitia orodha ya majina yote ya kata na matawi yote na hakuna mtu mwenye jina hilo?

Kwa sababu yeye ni fisadi,inawezekana anakadi feki

Hili ni rahisi kulithibitisha. Hiyo namba aliyotoa Mengi ipo haipo?
 
- Hakuna anaye-divert anything hapa na hutishi mtu na hii mi-ID yako mkuu, Sophia ameongea bila usahidi lakini yeye ushahidi upo wazi kwa kuzaa watoto wanne na viongozi wanne ambao ni waume wa marafiki zake, watoto wapo this is a fact, sasa na wewe tuletee facts za wizi wa Malecela na mkewe hapa tuwahukumu, otherwise acha longo longo peleka hasira zako za maisha huko.

- Mimi ndiye niliyesema kwamba Sophia hafai kuwa waziri wa Takukuru, kwa sababu yeye maadili ya binafsi hana sasa itakua sheria na maadili ya taifa, sasa nielimishe ninacho-divert hapo ni nini? Mimi sitishiki na hii mi-ID yako, muhimu ni hoja na facts ambazo huna! nilitaka kupumzika lakini naona hukubali sasa tuendelee kucheza hii ngoma!


FMEs!

Mkulu,

SS ana ukanda wa bahari kama km 50 kuanzia kimbiji kurudi kusini hadi mwisho mwisho mwa wilaya ya Temeke,alimegewa na KK kinyemela wakati akiwa meya wa jiji,haja declare mali hiyo kwenye tume.
 
Back
Top Bottom