Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Huyu mama asipuuzwe kwa 100%, haiwezekani kwamba eti yote aliyosema hakuna chembe ya ukweli kwa jambo hata moja! Anne Kilango mbona hajasema kwamba aliyosema Sofia Simba ni uwongo ila alisema ETI kwa nini hakuyasema muda huo wote! Kwa upande wa John Samwel Malecela naye hajakanusha zaidi ya kudai ETI Sofia Simba akapimwe akili! Remember you can extract sense out of nonsense!

- Amesema atamjibu at the right time tena at her time sio time ya Sophia na she is coming soon kwa sababu bado zamu yake kufika kwenye hiyo kamati, yote yatajibiwa tena kwa facts.

FMEs!
 
- Tatizo lako sio anything, isipokuwa ni mimi, na mimi nimekuhakikishia mara nyingi sana kwamba huna ubavu wa kusimama na mimi either hapa JF, aua hata in the real life, JF ninakuja kukata ishus sijali upande wa pili upo wewe au anybody, ninachojali facts sasa wewe ukileta za kuleta mimi sina peremende ninakurudishia zile zile za kuleta, uchafu wa CCM au usafi wao mimi haunihusu, kwa sababu ninaamini kuwa kama CCM wote ni wachafu, basi wananchi wote wa Tanzania tuliowachagua kutawala for he last 47 years tunakuwa kama wao CCM, yaani wachafu 100%.

Hata mimi nimo humo?.
 
Haya kwa wale watetezi wa Mengi na Chama chenu cha Mafisadi msikie huo ujumbe CCM waliompa Mengi.Tukiwaambia kwamba kama nyie siyo mafisadi basi mkiache hicho Chama mnakuja juu.

Na Tumaini Msowoya

SIKU moja baada ya Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya IPP Media Reginald Mengi kuthibitisha uanachama wake wa CCM kwa kuonyesha kadi ya mwaka 1977, chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam kimemkana.

Katibu wa CCM mkoani humo Kilunde Ng'enda amesema CCM Dar es Salaam bado haimtambui Mengi kama mwanachama wake vinginevyo akathibitishe ofisini kwake.

Source: Mwananchi 11/7/2009

- Kwani Mengi ni lazima atambuliwe na huyu katibu kuwa mwanachama wa CCM? Now what this has to do na masilahi ya taifa au taifa? I am sorry this is just too low!

FMEs!
 
- Amesema atamjibu at the right time tena at her time sio time ya Sophia na she is coming soon kwa sababu bado zamu yake kufika kwenye hiyo kamati, yote yatajibiwa tena kwa facts.

FMEs!

So pals lets seat back and relax, waiting to listen from our fools...there is a good lot to be thrown to us once again...lol!
 
-Mwalimu alimuita Malecela muhuni, kwa tabia zetu za Kitanzania ikiwa na maana ana wanawake wengi, kitu ambacho na Mwalimu alikuwa nacho yaani wanawake wengi...
- Jeetu kama nilivyoambiwa na wahusika, hajawahi kuifadhili harusi wala kampeni ya urais wa Malecela, isipokuwa anaweza kuwa aliachangia
FMEs!
Mkuu nilikuwa nimelala usingizi lakini hapa umenikuna kidogo.
Hivi nikuulize, wewe na Mwalimu nani anamjuwa Malecela vizuri...pengine ww zaidi...japo umeingia kwa mlango wa nyuma kaika nyumba ya watu...Mwalimu alikosea kumwita Malecela muhuni...si neno zuri kwa tabia yake hiyo wakati huo...kuna neno lilimfaa zaid lakini zama zile gojwa hatari halikuwa maarufu sana,nakumbuka alipokuwa balozi Uingereza...wanafunzi wa Kitanzania pale walikuwa wakiziona vurugu zake...na kelele zilikuwa hazishi...
Mkuu, kumbe Mwalimu alikuwa kiuwembe enhee...tupe basi ushahidi alijirusha na nani...hii haihitaji DNA kama ya Mama Sophia...kumbuka wewe ni Mzee wa facts na unaongea facts tu...prove your self, eti Nyerere alijirusha na nani...?
 
- Ndugu yangu mbona unahangika sana, unahngaikia nini hasa? kinachikuwsha ni nini hasa mkuu haya maneno unatunga tunga ili yakusaidie nini?

1. Sophia amemsifia Lowassa kuwa ni Mwanaume wa shoka na kwamba hajawahi kuona kiongozi safi na mchapakazi kama yeye, amesifia Rostam, Karamagi, na Makamba kwamba ni viongozi imara sana an wasafi na hasa Makamba kwamba anakiweka chama pazuri sana.

- Hayo ya viongozi wanne umeyatunga na kuyabandika tu hapo uonekane uko objective kumbe ni ayako ni ile ile tu kumchafua Malecela na mkewe, unachohangikia nini hasa mkuu?

2. Mama Kilango alikutwa na madawa ya kulevya na nani? kampeni zote za uchaguzi wapinzani wake wameshindwa kuyasema hayo, kwenye kampeni za urais Sophia alikuwa upande wa Mtandao kwa nini hakusema haya? Waziri wa Takukuru anashindwa nini kutoa ushahidi wa madai yake na kummaliza adui yake mkubwa Mama Kilango?

Unahangaika bure ndugu yangu, hutafanikiwa mafisadi Tanzania tunawafahamu na wanafahamika sana, hizi dataz ni zako sio za kutoka huko kwenye kamati na unapoteza muda wako bure tu even though ninajua kuwa una muda mwingi sana wa mchezo, lakini unahangaika bure! Kama Mama Kilango is too good kuuza madawa ya kulevya ni upuuuzi usio na mfano! kama wazazi wenu ni mafisadi na mmeshiriki kula hela zao za kifisadi poleni sana lakini sio wote ni lazima ni mafisadi, unahangaika bure tu mkuu!

- Hizi dataz ni zako wewe tu mkuu wala hazina anything to do na huko Dodoma!

FMEs!

dah Mkuu nilikuacha kule uendelee na mipasho yako naona umeamua kuileta na huku tena,kaazi kweli Mkuu
Sasa wewe kama nani wa kutuamulia hapa kwamba hii habari ni ya uongo Mkuu?Wacha watu walete waliyoyaona au kusikia halafu sisi wenyewe tutachuja mashudu na mafuta safi ya kutumia Mkuu!
 
"Pole sana mnaoangaika na mambo haya, mimi mpaka sasa sijui niko chama gani, mwaka huu nimetaka kukata kadi mpaka nimeshindwa kuwa niingie chama gani hivyo nimeacha mpaka miaka mitani mingine sioni chama chochote, alafu uzuri ni kwamba haininyimi usingizi wala hainipi chakula wala kupeleka watoto wangu shule, nilicho nacho ni kadi ya ukriso ya kubatizwa"

siku hizi kanisa ni kama ccm. kama hautoi zaka na haushiriki kanisani basi kanisa halikutambui na hata ukifa/ukifiwa kanisa linagoma kuja kukusalia.
 
dah Mkuu nilikuacha kule uendelee na mipasho yako naona umeamua kuileta na huku tena,kaazi kweli Mkuu
Sasa wewe kama nani wa kutuamulia hapa kwamba hii habari ni ya uongo Mkuu?
Wacha watu walete waliyoyaona au kusikia halafu sisi wenyewe tutachuja mashudu na mafuta safi ya kutumia Mkuu!

- Unahangika bure ndugu yangu, ila hapa JF sio mahali pa wajinga ndio maana tutazidi kukusaidia kuelewa kwamba unapoteza muda bure! Angalau umekubali kuwa ni wewe unayehangika!

FMEs!
 
Hivi Mwenyekiti wa CCM taifa hana wafuasi kabisa ndani ya chama chake? Mbona viongozi wote hadi ngazi za chini wako kambi ya Lowassa? Akiamua kukisafisha chama chake (kama ataamua lakini) ataanzia wapi jamani? Mi naona wacha tu mafisadi wakichukue chama chao. Hakisafishiki tena. Kichafu mpaka mkwenye mashina.

Wapiganaji kubalini kushindwa. Mwenyekiti wenu kawaangusha!
 
Mkuu nilikuwa nimelala usingizi lakini hapa umenikuna kidogo.
Hivi nikuulize, wewe na Mwalimu nani anamjuwa Malecela vizuri...pengine ww zaidi...japo umeingia kwa mlango wa nyuma kaika nyumba ya watu...Mwalimu alikosea kumwita Malecela muhuni...si neno zuri kwa tabia yake hiyo wakati huo...kuna neno lilimfaa zaid lakini zama zile gojwa hatari halikuwa maarufu sana,nakumbuka alipokuwa balozi Uingereza...wanafunzi wa Kitanzania pale walikuwa wakiziona vurugu zake...na kelele zilikuwa hazishi...
Mkuu, kumbe Mwalimu alikuwa kiuwembe enhee...tupe basi ushahidi alijirusha na nani...hii haihitaji DNA kama ya Mama Sophia...kumbuka wewe ni Mzee wa facts na unaongea facts tu...prove your self, eti Nyerere alijirusha na nani...?

- Irrelevant to the topic at hand!

FMEs!
 
Hivi huyu Mengi kwanini anasumbuka na hawa wendawazimu?
 
siku hizi kanisa ni kama ccm. kama hautoi zaka na haushiriki kanisani basi kanisa halikutambui na hata ukifa/ukifiwa kanisa linagoma kuja kukusalia.

Kama huwezi kumjua Mungu ukiwa na raha basi ukipata shida Mungu atakupa bega ndiyo maana unaambiwa kuna moto huko unajua ni kwa nini ?Kama huwezi kushiriki kazi zao kwa maeneo uliyo ila unashiriki kwa Pengo basi ukifa ama ukifowa ukataka ibada Pengo lazima atakuja . Kwa kesi ya Mengi kama mwendo ni huo yeye na JK basi wacha tuone kama JK atasema lolote maana ndiye sauti ya mwisho ndani ya CCM kama Mwenyekiti.
 
Nafikiri hii ni nzuri kwa demokrasi..anaongea street language lakini who cares,acheni aseme anachojua inaweza kusaidia kuwatoa hawa mafisadi
 
Hivi huyu Mengi kwanini anasumbuka na hawa wendawazimu?

- Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar ni Guninita, kibaraka wa Lowassa, sasa Mzee Mengi anategemea nini kutoka kwa hawa wendawazimu?

I mean huyu katibu atakuwa ametumwa na nani? Mkulu Koba ubarikiwe!

Respect.

FMEs!
 
- Unahangika bure ndugu yangu, ila hapa JF sio mahali pa wajinga ndio maana tutazidi kukusaidia kuelewa kwamba unapoteza muda bure! Angalau umekubali kuwa ni wewe unayehangika!

FMEs!

Wajinga ni wale wanaodhani wanajua Ids za kila member hapa JF
 
- Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar ni Guninita, kibaraka wa Lowassa, sasa Mzee Mengi anategemea nini kutoka kwa hawa wendawazimu?

I mean huyu katibu atakuwa ametumwa na nani? Mkulu Koba ubarikiwe!

Respect.

FMEs!

Kamanda unauwa! Pamoja sana
 
- Irrelevant to the topic at hand!

FMEs!
What kind of relevance are you asking for...ni wewe uliosema kuwa ...si Malecela tu hata Mwalimu nayeye wanawake alikuwa nao...kumbuka ulitaka kututajia mpaka majina ya wanaume aliozaa nao Mama Sophia...na ukajinata kuwa una facts za kutosha kuthibitisha...ithibitishie JF hapa, wanawake wa Mwalim Nyerere walikuwa nani na nani...najuwa facts unazo tu...vinginevyo utakuwa umezulia Mzee wa watu(RIP)...na kumvunjia heshima wakati amesharejea kwa Mungu wake...hawezi kuja hapa kujitetea...au hana watoto humu JF, kama Malecela na kilango, wa kumtetea...utakuwa hujamtendea haki hata kidogo,ili nisikuone mwongo na kuanza ku doubts kashfa zako kwa Mama Sophia...thibitisha hapa hao wanawake aliokuwa nao Mwalim...be honest and just kwa Baba wa taifa.
 
Back
Top Bottom