Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,904
- 16,216
- Thread starter
- #81
Miji ya Ulaya mingi ni misafi na imepangiliwa vizuriHakika, wabongo wengi hawaelewi hili. Jiji linapendeza kama limepangwa vizuri na ni safi hata kama halina maghorofa mengi na makubwa, mfano Rome, Paris, Muscat
Lakini kusema haina maghorofa mengi makubwa, sio kweli. Labda unamaanisha haina maghorofa mengi marefu
Ipo miji mingi sana mizuri ambayo haina maghorofa makubwa lakini sio hiyo uliyoitaja
Miji kama Paris na Rome, maghorofa yao ni mafupi lakini ni makubwa. Ukijumlisha na usafi na mpangomji yanazidi kuvutia
.
Kuna miji kama Olpe, haina maghorofa makubwa lakini mizuri. Ila huwa sio majiji.
Hakuna jiji lisilo na maghorofa makubwa Ulaya. Labda uongelee miji midogo, na vijiji
Olpe town, Germany