jiji la dar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Jiji la Dar es salaam linatakiwa kuwa na stendi 7 au 8

    Kama isemavyo kichawa cha habari kisemavyo Dsm kunatakiwa kuwe na stendi kama 7 au 8 Mbezi Ubungo Chanika Mbagala Kigamboni Kigamboni Tegeta bunju Kinondoni Na hizo stendi kuwe na private terminal mfano wa zile zilizopo shekilango
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kumetolewa tahadhari ya El Niño ila hakuna elimu yoyote inatolewa kwa Wananchi, kwanini?

    Kutokana na tahadhari ya wataalamu wa hali ya hewa kuhusu uwezekano wa mvua kubwa za El Niño mwaka huu, tunaomba Serikali na mamlaka husika kuongeza juhudi za kutoa elimu na tahadhari kwa wananchi ili waweze kujiandaa mapema. Pia, kuna wasiwasi kuhusu hali ya miundombinu ya mifereji ya maji...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Harufu ya rushwa katika Idara ya Utawala na Utumishi, Halmashauri ya Ilala

    Katika mashauri ya kinidhamu yaliyohitimishwa mwaka 2024/2025, baadhi yetu watumishi tulikutwa na hatia na kuamuriwa kukatwa asilimia 15 ya mishahara yetu kila mwezi kwa kipindi cha miaka mitatu. Kinachoshangaza ni kwamba baadhi yetu tunakatwa mishahara, lakini wenzetu wengine hadi leo...
  4. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

    Miaka ya nyuma, skyline ya Dar es Salaam ilikuwa simple sana, majengo machache marefu, mengi yakiwa ya kati tu. Lakini leo hii, mji umebadilika kwa kasi kubwa ajabu. Maeneo kama Posta, Upanga, Masaki na Kariakoo yameanza kujazwa na majengo ya kisasa (high-rise buildings), mengi yakiwa na ofisi...
  5. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?

    Unamshauri nini mtu anayeenda kutafuta maisha jiji la Dar es Salaam?
  6. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Political Tension: Video, hali ilivyo asubuhi hii toka katika jiji la Dar es salaam shukrani kwa DW

    Raia bado wanasoma mchezo wa hali halisi ila mpaka mida hii mitaa inaonekana kuwa ni myeupe kabisa. Tupe update za ulipo.
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nurdin Bilal (Shetta) achaguliwa kuwa Meya wa Jiji la Dar es Salaam

    Diwani wa kata ya Mchikichini Nurdin Bilal Juma, maarufu kama Shetta, ametangazwa rasmi kuwa Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam leo Desemba 04, 2025, baada ya kupata ushindi katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji. Shetta alipata jumla ya kura 48 za ndiyo kati...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nurdin Juma (Shetta) apitishwa na CCM kugombea Umeya DAR

    Mchakato wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wa kumpata mgombea wa Umeya wa Jiji la Dar es Salaam umeingia katika sura mpya baada ya matokeo kumuibua Nurdin Juma (Shetta) kuwa mshindi. Katika uchaguzi huo uliofanyika katika Ukumbi wa CCM Wilaya ya Ilala, Diwani wa Mchikichini...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Day 5: Patrol inayoendelea katika baadhi ya viunga vya jiji la Dar es Salaam

    Nyongeza ajili ya wanaotaka USHAHIDI. Nilifanikiwa ku-zoom namba za gari na sura zao
  10. M

    JamiiForums Tanzania Day 5: Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam

    Hali iko hivi kwa wakazi wa Jiji la Dar 1) Kuna barriers kila sehemu, ukipita lazima uwe na ID to verify your identity. Ni Polisi na Wanajeshi 2) Bolt ukimwita akupeleke Airport tokea maeneo ya Sinza, anataka LAKI 2 au zaidi 3) Ukiwa unaenda Airport, lazima ueleze unaenda wapi na kufanya...
  11. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Miji ya Chalinze na Msata kama lango la jiji la Dar es Salaam haipaswi kuwa vile kama ilivyo

    Kama unakaribia Dar es Salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni kama umeanza kupata picha ya Dar es Salaam Ila cha ajabu unapofika chalinze au msata haya maeneo sio...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini mwendokasi umeshindwa kutatuta changamoto ya usafiri katika jiji la DAR?

    Wakuu ==== Katika miaka ya hivi karibuni, Serikali ya Tanzania kupitia DART (Dar Rapid Transit) imekuwa ikifanya jitihada kubwa za kuboresha mfumo wa usafiri wa umma jijini Dar es Salaam kwa kununua magari ya mwendokasi. Hata hivyo, licha ya uwekezaji huo mkubwa, changamoto bado ni kubwa —...
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

    Viunga gani vya jiji letu la Dar es Salaam unavisikia tu ila haujawahi kufika? Naanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia: Chanika Chamazi Makongo juu Kivule Kiwalani Yombo vituka Mabwepande Mburahati .
Back
Top Bottom