Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

Ujenzi wa skyline una reflect attitude na maisha ya watu katika jiji/ mji directly

Mtu aliyekulia Mbeya akija Dar es Salaam in his/her twenties lazima ataipa Dar benchmark ya juu kutokana na kule alipotoka na ataona the best place ever

Mtu aliyekulia Dar na akaishi zaidi ya miaka 30 ataona tofauti na kufikiri kwamba ni maendeleo kwa hayo majengo mapya ambayo kwa kiasi kikubwa hata yeye yanaweza asinufaike nayo zaidi ya kuongeza misongamano ya watu due to overpopulation, kuondoa public places and spaces kua accommodate hayo magorofa, noise pollution ya magari, pikipiki na makumbi ya starehe na hata lack of basic social service kama huduma ya maji ya uhakika na overlow ya sewage na sewerage systems

Mzaliwa wa Dar akienda nje ya nchi kuanzia hapo Nairobi, Kigali na mbali kidogo kama Johannesburg au Addis kidogo ndiyo ataona backwardness ya Dar
Sasa ukipata bahati/nafasi ya kwenda nje zaidi kama hapo Middle East, Far East huko Japan, Singapore mpaka Western Europe na US ndio utajua hata hiyo miji mingine ya Afrika kama Cairo hata Joburg bado iko nyuma ambao kwa mtu wa Dar kwake ni benchmark

Kwa experience yangu, kwa mtu aliyeondoka Dar akawa nje ya nchi miaka mingi excitement ya kurudi Dar inaishia unapoanza kuona zile kutu za Kipawa na Vingunguti kabla hata hujatua tofauti na ukiwa unatua airport nyingi duniani unapoona miji imepangika na skyline za kuvutia na hapo hujakutana na madimbwi ya maji machafu mitaani na misongamano na lawlessness ya bodaboda na waywardness watu kujivukia barabara hovyo sehemu zisizoruhusiwa
Cultural changes zinahitajika kubadilisha mindset kwani hata miji ikijengwa vipi attitude za wakazi zitafanya hivyo vitu kuwa superficial mf Magorofa ya Magomeni taka hazizolewi, hawataki kulipa, lift zinanuka mikojo wanajisaidia humo na maji juu hayatoki watu wanachota maji chini wanapanda nayo mpaka juu
Hapa sasa umeongea vizuri, kama ingekuwa ni mtihani unapata 99%.
 
Sawa, lakini yana umuhimu kwa Watz wachache sana, wakati large population ina mahitaji ya maji, vyoo, Elimu na Nishati
 
Ujenzi wa skyline una reflect attitude na maisha ya watu katika jiji/ mji directly

Mtu aliyekulia Mbeya akija Dar es Salaam in his/her twenties lazima ataipa Dar benchmark ya juu kutokana na kule alipotoka na ataona the best place ever

Mtu aliyekulia Dar na akaishi zaidi ya miaka 30 ataona tofauti na kufikiri kwamba ni maendeleo kwa hayo majengo mapya ambayo kwa kiasi kikubwa hata yeye yanaweza asinufaike nayo zaidi ya kuongeza misongamano ya watu due to overpopulation, kuondoa public places and spaces kua accommodate hayo magorofa, noise pollution ya magari, pikipiki na makumbi ya starehe na hata lack of basic social service kama huduma ya maji ya uhakika na overlow ya sewage na sewerage systems

Mzaliwa wa Dar akienda nje ya nchi kuanzia hapo Nairobi, Kigali na mbali kidogo kama Johannesburg au Addis kidogo ndiyo ataona backwardness ya Dar
Sasa ukipata bahati/nafasi ya kwenda nje zaidi kama hapo Middle East, Far East huko Japan, Singapore mpaka Western Europe na US ndio utajua hata hiyo miji mingine ya Afrika kama Cairo hata Joburg bado iko nyuma ambao kwa mtu wa Dar kwake ni benchmark

Kwa experience yangu, kwa mtu aliyeondoka Dar akawa nje ya nchi miaka mingi excitement ya kurudi Dar inaishia unapoanza kuona zile kutu za Kipawa na Vingunguti kabla hata hujatua JNIA tofauti na ukiwa unatua airport nyingi duniani unapoona miji imepangika na skyline za kuvutia na hapo hujakutana na madimbwi ya maji machafu mitaani na misongamano na lawlessness ya bodaboda na waywardness na jaywalking watu kujivukia barabara hovyo sehemu zisizoruhusiwa
Cultural changes zinahitajika kubadilisha mindset kwani hata miji ikijengwa vipi attitude za wakazi zitafanya hivyo vitu kuwa superficial mf Magorofa ya Magomeni taka hazizolewi, hawataki kulipa, lift zinanuka mikojo wanajisaidia humo na maji juu hayatoki watu wanachota maji chini wanapanda nayo mpaka juu
Huwezi kuwa na skyline nzuri ambayo utashindaa kui maintain
Nakubaliana na wewe wholesale, lakini pia siyo vibaya kujivunia jiji letu maana Mkoloni hakuliacha likiwa hivyo mwaka 1961
 
Nakubaliana na wewe wholesale, lakini pia siyo vibaya kujivunia jiji letu maana Mkoloni hakuliacha likiwa hivyo mwaka 1961
Jiji aliloliacha mkoloni lilikuwa limepangaliwa kuliko ilivyo sasa. Mkoloni wakati anaondoka aliacha master plan ya Dar wapi pa kujenga, kujengwe nini na wapi sio pa kujenga, miaka sitini baada ya yeye kuondoka Jiji liko shaghalabagala tu halina mpango mji wowote wa kueleweka, sehemu za public open spaces kuna fremu za kuuza bidhaa za China, mabonde ya maji kuna makazi ya watu na stendi za mwendokasi, barabara zote hakuna njia za watembea kwa miguu!
 
Hayo mabanda serikali ilipaswa kuhakikisha yanawekwa kwenye mpangilio wa kueleweka, kunakuwa na njia za kupitika, mifereji ya maji, mifumo ya maji taka n.k Hata ukiwa na nguo zilizochakaa tu ni vizuri ukajitahidi kuzifua na kuzipiga pasi.
Hakuna kitu rahisi kama serikali kujenga nyumba.

Ndani ya mwaka inaweza kujenga nyumba hata 2000.

Lazima kwanza ujenge SKELETON ya uchumi
 
Hakuna kitu rahisi kama serikali kujenga nyumba.

Ndani ya mwaka inaweza kujenga nyumba hata 2000.

Lazima kwanza ujenge SKELETON ya uchumi
Ni vizuri serikali kujenga miji lakini ni muhimu zaidi kusimamia mipango miji, mfano sio sahihi fremu za biashara kujengwa mahali popote kama hali ilivyo sasa. Sio sahihi mji kama wa Dar kukosa maeneo ya wazi( public open spaces) katikati ya mji ambayo yanaweza kutumiwa hata na watu wa vipato vya chini na masikini kupunga upepo huku watu wanapiga story. Dar sehemu watu wanaweza kukutana waka enjoy ni Bar na hotelini zaidi.
 
Hilo jiji halijapangwa kabisa hamna sehemu za wazi yani kama pale tanganyika packers wanataka geuza arena 😂😂😂 yani nchi hii ujinga sana
 
Ni vizuri serikali kujenga miji lakini ni muhimu zaidi kusimamia mipango miji, mfano sio sahihi fremu za biashara kujengwa mahali popote kama hali ilivyo sasa. Sio sahihi mji kama wa Dar kukosa maeneo ya wazi( public open spaces) katikati ya mji ambayo yanaweza kutumiwa hata na watu wa vipato vya chini na masikini kupunga upepo huku watu wanapiga story. Dar sehemu watu wanaweza kukutana waka enjoy ni Bar na hotelini zaidi.
Mipango miji ni suala muhimu, hasa bustani za wazi na barabara zenye side walks na usafi wa miji
 
Nakubaliana na wewe wholesale, lakini pia siyo vibaya kujivunia jiji letu maana Mkoloni hakuliacha likiwa hivyo mwaka 1961
Mkoloni hakuacha jiji kubwa lakini ulikuwa ni mji uliopangika sana na maeneo yenye kueleweka kwa yale yaliyokuwa developed

Tulipaswa kuendelea kutokea pale na sio regression ambayo imetokea licha ya hiyo superficial development ya majengo kwenye sehemu chache inavyoonekana ambayo kwa Dar kwa sasa hata occupancy rate mengi hayafiki hata 50%

Maeneo ya Upanga, Oysterbay na maeneo ambayo sasa yanaonekana uswazi kama Temeke, Magomeni, Ilala na Kinondoni kuna mitaa iliyojengwa enzi za ukoloni na huduma zote muhimu zilipatikana na nyumba standard tu ambazo hata Ulaya wanazo na bado zinapendezesha miji yao bila uhitaji wa magorofa ya kutisha
Masaki wametoa kibali kujenga mpaka 50floors kwa anayeweza, kwa miundombinu ipi ya barabara, maji safi na majitaka?
NHC Kawe flats ni mpya kabisa lakini kuna taka kwa nyuma week 3 hazijazolewa na pananuka hatari
Sinza na Mbezi Beach kuna master plan nzuri sana lakini ujenzi holela na extensions za maduka, groceries na frame kumekuwa sawa na uswazi

Tukiwa wadogo miaka ya 80s tunacheza mpira kwenye viwanja vya wazi na mji una huduma za uhakika za usafiri wa umma bila misongamano ya leo ambapo watu wanajisaidia kwenye chupa na mifuko ya rambo wanatupa barabarani
Singapore na Malaysia walipata uhuru karibu miaka sawa na sisi angalia walipo leo. Nchi ambazo wako serious hata kutafuna “Big G” unapigwa fine ili usichafue mazingira

Jiji la Dubai na nchi ya UAE kwa ujumla wake imeanza kujengwa miaka ya 70 baada ya mkoloni, muingereza kuipa uhuru, leo hii wako mbali sana na hata wazungu wanawekeza makazi huko, wahindi na uchafu wao wote wameshindwa kuuchafua
Kigali ndani ya miaka 30 wameweza kudhibiti tabia na ujenzi holela leo hii watu wanaisifia na wananchi wenyewe wako proud na wanashiriki kuutunza
WaTz kwa miaka 60+ ya uhuru sio wa kushangilia magorofa wakati wenzetu wanapeleka watu outer space kufanya exploration.

Kwa mtu anaependa maendeleo huwezi kuridhika au kukubali kwamba hapa ndipo tunapaswa kuwa, wakati unakatwa kodi left, right and centre
Viongozi wetu sio visionaries na unashangaa kila siku wanasafiri nje lakini hawaoni hata wivu wanaishia hotelini na kushangaa madukani tu
Yule Maktoum wa Dubai ukisoma kwenye kitabu chake My Vision anaeleza kila alipokuwa akienda UK na US au kwengineko Ulaya akifikiria kutransfer anachokiona kuleta nchini kwake in a better way mpaka kupafanya jangwani pale licha ya joto kali pakawa livable na kupandisha quality of life kutoka a mere fishing village kuwa metropolis na megacity na kuyapita hata majiji makubwa yaliyotagulia kwa quality of life
JPM, pamoja na mapungufu yake mengine kama binadamu, angalau kwa muda mfupi alijaribu kuleta sense of ordeliness na hakuona tija ya viongozi kwenda nje kama wameshindwa ku transfer na kuleta maendeleo nchini
 
Back
Top Bottom