AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,504
- 21,096
Maeneo yanabadirika kwa wakati Posta ya leo sio ya 1990 amka hapo usingiziniSehemu kubwa ya Dar es Salaam inafanana na Tandale shimoni.
Maeneo yanabadirika kwa wakati Posta ya leo sio ya 1990 amka hapo usingiziniSehemu kubwa ya Dar es Salaam inafanana na Tandale shimoni.
Acha ujinga ukufunze na utaendelea hivyo hivyo kupondea kila kitu na hapohapo umejiandikisha kitambulisho cha NIDA hamia Kigali basi nenda kachukue uraia wa Rwanda, kumbe Mwigulu hakukosea kuwaambia muhamie BurundiDar takataka inazidiwa hata na Kigali , vi nchi masikini lakini vinajitahidi kupangilia miji yao na kuifanya kustaarabika,kuvutia na mahali panapofaa mtu kuishi,Miji ya Tanzania ni mazizi ya ng'ombe na nguruwe
Kuwa mkweli ,wewe kuna kitu gani kinachokufurahisha hapo kwenye hilo zizi la nguruwe aka DarNimeona hii kitu kwa Watanzania, ni tofauti na Wakenya kidogo. Ukikuta post inasifia Kenya basi wakenya watakuja kuipamba nchi yao kwenye comments section lakini post za kusifia Tanzania, wabongo hawataki kabisa wanaanza kupondea in comment section as if kila kitu Tanzania ni kibaya
Mfano hapa, there's nothing wrong with having a good skyline lakini for unknown reason imekukasirisha kuiona
Mada inahusu skyline, sio siasa wala kitu chochote
Lazima kuna psychological reason for this. So nimeuliza ChatGPT kwa nini Watanzania wanapenda kupondea nchi yao kwa kila kitu
Baada ya kusoma majibu nimeelewa
1. Frustration ya maisha ya kila siku
Watu wengi wanakutana na matatizo kama miundombinu mibovu, foleni, uchafu, au huduma mbovu. Hivyo wanatoa hasira zao kwa kuikosoa nchi yao, kama ilivyo kwa mfano wa Dar es Salaam kwenye hiyo post.
2. Kulinganisha na nchi zilizoendelea
Watu wakiona miji kama Frankfurt ilivyo safi na organized, wanaanza kuona kwao hakuna kitu kizuri. Lakini mara nyingi wanalinganisha bila kuzingatia tofauti za historia, uchumi, na mipango ya muda mrefu.
3. Inferiority complex (kujiona duni)
Baadhi ya watu wanaamini kila kitu cha nje ni bora kuliko cha nyumbani. Hii inafanya hata maendeleo yaliyopo yasionewe thamani.
4. Culture ya kulalamika mtandaoni
Mitandao imefanya iwe rahisi sana ku-criticize kuliko kusifia. Negative posts hupata attention zaidi, hivyo watu wanaendelea kuandika hivyo.
5. Ukosefu wa uelewa wa progress
Watu hawafuatilii mabadiliko taratibu. Mfano, skyline ya Dar imekua sana miaka ya karibuni, lakini kwa mtu anayekaa kwenye matatizo ya kila siku, hilo halionekani muhimu.
Acha visingizio ,Umewahi fika hata Kigali ukaona ? , sasa Rwanda tu nchi ndogo na masikini wamejitahidi kutengeneza mji uliostaarabika kwanini Tanzania nchi kubwa na yenye uchumi mkubwa inashindwa ?,Huu ni udumavu wa akili .Na ndio 'tatizo s LA hii nchiMaeneo yanabadirika kwa wakati Posta ya leo sio ya 1990 amka hapo usingizini
Yapo maeneo mengi tu ya Dar yanayovutia.Dar takataka inazidiwa hata na Kigali , vi nchi masikini lakini vinajitahidi kupangilia miji yao na kuifanya kustaarabika,kuvutia na mahali panapofaa mtu kuishi,Miji ya Tanzania ni mazizi ya ng'ombe na nguruwe
Mshamba wewe ,ninyi ndio malofa walugaluga mnaokuja zizini kushangaa marundo ya matofali marefu mnayoita maghorofa , hebu niambie ni kitu gani kipo sawa hapo kwenye zizi Lenu hilo mnaloita jiji LA Dar ,acheni ulimbukeni na unafiki ,Dar ni takatakaAcha ujinga ukufunze na utaendelea hivyo hivyo kupondea kila kitu na hapohapo umejiandikisha kitambulisho cha NIDA hamia Kigali basi nenda kachukue uraia wa Rwanda, kumbe Mwigulu hakukosea kuwaambia muhamie Burundi
Endelea kulalamika 😂😂Mshamba wewe ,ninyi ndio malofa walugaluga mnaokuja zizini kushangaa marundo ya matofali marefu mnayoita maghorofa , hebu niambie ni kitu gani kipo sawa hapo kwenye zizi Lenu hilo mnaloita jiji LA Dar ,acheni ulimbukeni na unafiki ,Dar ni takataka
Punguza kamdomo 🚮Masaki ,upanga yenyewe mnayoongea taka taka hiyo ambayo inanuka na mitaro imeziba Maji ya mikojo na kinyesi mvua kidogo tu ikinyesha na hiyo ndio wanaishi top 1percent kwenye nchi ,imagine implication ya hilo .Masaki masaki ,rubbish tu .kwa MTU anayekaa masaki na upanga ataelewa nilichoandika na si walugaluga washamba
Endelea kudhihirisha ushamba wako
Eti wanaowakandamiza 😂Ndio maana hao mataahira wenu wanaowanyonya kodi na kuwakandamiza wanaona aibu na kinyaa hata kutembea kwa miguu au kuride baiskeli mitaani .Kitu ambacho ni kawaida sana nchi nyingine , sababu ni kwamba Tanzania na miji yake ni vijiji vyenye machaka na miji ,majiji fake ambayo kiukweli ni marundo ya takataka na uozo