Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

Hizi mada zeny mnachanganya sana mafaili.

Mmetoka kwenye skyline, mmedandia MIPANGO MIJI, MAGHOROFA na sasa PUBLIC TRANSPORT
Mada inasema skyline ya Dar inakua (jambo zuri), wanapinga wanasema Dar kuna uchafu (jambo baya) kitu ambacho hakionekani kwenye picha zilizoonyeshwa na wala sio mada. Then wanatoa mifano ya Cairo na Kigali kwamba ni miji mizuri.

Unawaambia Cairo kuna foleni kubwa sana (sifa mbaya), wanaruka wanadai Cairo kuna watalii milioni ngapi sijui (sifa nzuri).

Wao kila kitu Dar ni kibaya, ila kila kitu uko nje ni kizuri.
 
Cairo umejaa watu.

Umejaa majengo yasiyo na ladha (concrete jungle) na hakuna mti.

Mbwa wanazurura muda wote kila kona, halafu ni jangwani joto zito sana.

Kujifananisha na Cairo ni usenge
 
Cairo umejaa watu.

Umejaa majengo yasiyo na ladha (concrete jungle) na hakuna mti.

Mbwa wanazurura muda wote kila kona, halafu ni jangwani joto zito sana.

Kujifananisha na Cairo ni usenge
Hadi wenyeji wameamua wajenge mji mkuu mpya kwa gharama kubwa ila wanafiki wa huku huwaambii kitu juu ya Cairo yao mji kama mbinguni.
 
Cairo umejaa watu.

Umejaa majengo yasiyo na ladha (concrete jungle) na hakuna mti.

Mbwa wanazurura muda wote kila kona, halafu ni jangwani joto zito sana.

Kujifananisha na Cairo ni usenge
Cairo ni pazuri kwa sababu ni nje ya Tanzania 😂😂
Ndio logic yao, nothing else
 
By that logic, OP aliyeta picha za skyline unaona alibisha kwamba Dar ina kasoro na challenges zake?

Sasa kwanini uliona Dar haiwezi kuwa na kitu kizuri, ilhali mleta mada kaleta skyline inayokuwa na inaonyesha hatua za maendeleo. Wakati unakaza fuvu unatolea mfano wa Kigali kajiji kanazidiwa na Kinondoni kapo nchi yenye population ambayo Dar pekee inazidi nusu yake. Then unaonyesha Cairo kwamba ina mafanikio wakati ni ya pili kwa foleni Afrika.

Hakuna mji hauna kasoro, zikitajwa sifa zake haimaanishi zisitajwe kisa kuna kasoro. Hizo London na Tokyo zina matatizo yake kibao ila nyuzi za kusifia huwa hamyasemi.
Ukiongelea Skylines kama ni kitu kizuri kwenye nchi ni sawa na mtu wa Nigeria anayejisifia nchi yake ni ya nne kwa ukubwa wa uchumi(GDP) barani Africa, haina maana yoyote kama hautaangalia vigezo vingine vya per capita income, usalama, mazingira, miundombinu n.k Nigeria kuwa mzalishaji namba moja wa mafuta Africa ni jambo zuri la sifa lakini haina maana yoyote kwa raia wengi ambao wanaishi na majenerata muda wote, ni bora hata sisi Tanzania tusio na mafuta. Hakuna maana yoyote kwa DRC Congo kujisifia yenyewe ndio inaongoza kwa rare earth, mambo mengine kama hizo skylines ni vanity tu wakati mwingine.
 
Ukiongelea Skylines kama ni kitu kizuri kwenye nchi ni sawa na mtu wa Nigeria anayejisifia nchi yake ni ya nne kwa ukubwa wa uchumi(GDP) barani Africa, haina maana yoyote kama hautaangalia vigezo vingine vya per capita income, usalama, mazingira n.k Nigeria kuwa mzalishaji namba moja wa mafuta Africa ni jambo zuri la sifa lakini haina maana yoyote kwa raia wengi ambao wanaishi na majenerata muda wote, ni bora hata sisi Tanzania tusio na mafuta. Hakuna maana yoyote kwa DRC Congo kujisifia yenyewe ndio inaongoza kwa rare earth, mambo mengine kama hizo skylines ni vanity tu wakati mwingine.
Skyline ni maghorofa, barabara, miundombinu, miti, nk
Maghorofa ni ofisi, makazi, apartments, ishara ya uwekezaji
Barabara ni ishara ya miundombinu mizuri ya usafiri

Skyline nzuri ni matokeo yanayokuja baada ya maendeleo. Lakini mafuta na rare earth metals, ni raw materials before maendeleo. Tofautisha
Screenshot_20260325-124304.png
 
View attachment 3562656
Kama Skylines ni pamoja na miundombinu(barabara), miti n.k basi mwenyewe utakuwa huelewei uzi wako.
 
Kama Skylines ni pamoja na miundombinu(barabara), miti n.k basi mwenyewe utakuwa huelewei uzi wako.
Wewe ndio huelewi uzi
City skyline inayoongelewa hapa imeoneshwa kwenye picha, wewe unaanza kuongelea sijui Dar imepangwa hovyo, mara sijui Tandale, vitu ambavyo kwenye skyline zote 9 zinazoongelewa havipo.
 
Kama Skylines ni pamoja na miundombinu(barabara), miti n.k basi mwenyewe utakuwa huelewei uzi wako.
Nimekwambia mipango miji unataka iwe mizuri toa fungu lako sema hapa nina Trillion 800 nataka kuipa Serikali iboreshee miundo mbinu na mipango miji tutakusikiliza ila huu ukasuku usiokua na muelekeo kusifia Morocco, Cairo, Kigali na huku huna directions zozote ni kupotezeana muda na ushabiki wa kishamba
 
Serikali itumie kodi yangu.
Pesa za bandari, mbuga za wanyama, madini n.k vyote hivyo ni mali zangu
 
Serikali itumie kodi yangu.
Toa pesa yako sio unaleta ukasuku wa kijingajinga tu hapa na muelekeo zero, muelekeo sio pesa tu pamoja na mapendekezo haya unapendekeza nini kifanyike? huna ulichonacho ukasuku tu Cairo ipo hivi Morocco ipo hivi haya wewe onyesha unataka Dar iweje hujui?
 
Sasa kodi sio pesa yangu?? We mshamba vipi!
Sasa unafikiri huko Morocco kumepangiliwa na nini na zaidi ya kodi za raia na rasilimali za taifa?!
 
Sasa kodi sio pesa yangu?? We mshamba vipi!
Pesa yako nimekwambia sio kodi ushaelewa ninajua unalipa kodi ndio ila unaona kwamba unachelewa na kodi unalipa haya sasa toa Trillion 800 ipe Serikali kisha iambie unataka barabara njia 8 Dar nzima na hizi squatters zote zifagiliwe zijengwe ghorofa tupu au nyumba zenye muonekano fulani apartment nzuri za kutosha wakazi wote wa Dar wasiishe kwenye nyumba za mabati yanayoota kutu na kadhalika, hicho ndicho nataka useme wewe hata mapendekezo huna unaleta ukasuku humu? Ndio maana nikakuuliza wewe unatakaje?
 
Umechanganyikiwa
 
Sasa kodi sio pesa yangu?? We mshamba vipi!
Sasa unafikiri huko Morocco kumepangiliwa na nini na zaidi ya kodi za raia na raslimali za taifa?!
Mada imejikita upande huu wa Dar es Salaam
Screenshot_20260325-123954.png

Lakini wewe unataka tu ignore upande huo wa Dar, tu focus na upande huu
Road_4_in_Tandale,_Kinondoni_MC.jpg

Lakini inapokuja suala la Cairo, unataka kubase upande huu tu wa Cairo
p07zy3y6.jpg.webp

Lakini upande huu wa Cairo hauongelei
Slums_of_Egypt_Cairo.jpg

Huoni unakosea kufananisha Tandale na maeneo mazuri ya Cairo.
Maeneo mazuri Dar yapo ila umechagua kuya ignore, basi fanya the same to Cairo
 
Back
Top Bottom