Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

Skyline ya jiji la Dar es Salaam imepanuka sana

Miaka ya nyuma, skyline ya Dar es Salaam ilikuwa simple sana, majengo machache marefu, mengi yakiwa ya kati tu. Lakini leo hii, mji umebadilika kwa kasi kubwa ajabu.

Maeneo kama Posta, Upanga, Masaki na Kariakoo yameanza kujazwa na majengo ya kisasa (high-rise buildings), mengi yakiwa na ofisi, hoteli na apartments za kisasa.

Miradi mikubwa kama commercial towers, shopping complexes na mixed-use buildings imechangia sana kuibadilisha sura ya jiji.
Infrastructure nayo imeboreshwa, barabara, BRT, na huduma zingine nk na hii imefanya maeneo mengi yawe attractive kwa maendeleo ya majengo marefu.
Kwa sasa, skyline ya Dar imeshazidi miji mingi mikubwa Africa, na bado ukuaji unaendelea.
Kwa hiyo inapaswa tukaze buti kuhakikisha tunatatua changamoto za jiji hili kadri tuwezavyo ili lianze kuwa na hadhi za kimataifa

Shukrani kwa YouTube channel ya Bertin, kuendelea kuionesha Tanzania watu wapate kuona upande mwingine wa Tanzania apart from Safari, Zanzibar beaches na CCM

1. Dar es Salaam City Centre
View attachment 3562509View attachment 3562510View attachment 3562511

2. Kariakoo
View attachment 3562512

3. Upanga
View attachment 3562513View attachment 3562514

4. Old Dar es Salaam
View attachment 3562515

5. Silicon Dar es Salaam
View attachment 3562516

6. Ilala
View attachment 3562517

7. Msasani Peninsula
View attachment 3562518

8. Morocco
View attachment 3562519

9. Sam Nujoma Road
View attachment 3562520
Kama ukiruka na ndege usiku......jiji la Dar linapendeza sana halafu ni kubwa kama vile Bagamoyo ishaungana mixer Kibaha cum Mbagala...usifanchezo
 
Unahangaika sana Mama Amina kutaka watu wakuone something you are not
Wewe ni fala tu
We mtoto huna akili , we ni punguani tu ,zuzu wewe na ulimbukeni wako wa kwenda kushangaa majengo takataka ya ferry na posta ,taahira

Nina uhakika hujawahi vuka border ya hilo zizi mpuuzi we we ,tafuta passport
 
Kwa nchi hii hakuna kama Dar es Salaam..

Pamoja na mapungufu iliyonayo but still Dar es Salaam is the most developed city in this entire country
 
Akili za kijinga hizo ,Cairo Ina watu milioni kumi ,
Cairo ni mji wa pili kwa kuwa na foleni kuliko miji yote Africa hii, ila hili huwezi fahamu maana wewe unaamini kila kitu cha nje ni kizuri. Tatizo lako ni ulimbukeni na upumbafu kuamini kila kitu cha Tanzania ni cha kuponda na kuona kibaya na hamna zuri.

Kisa umeolewa na kibabu uko unakoonekana nyani. Na ukifa mzoga wako utataka uletwe hapa.
 
Ungekuwa ndio uwezo wangu Dar ingebaki kama mji au jiji la zamani ila miji yoyote inayojengwa sasa hasa Dodoma ingejengwa kisasa ili iweze kustaimili majira yote ya mwaka hasa mvua. Nadhani wengi tunadhani kuwa jiji ni maghorofa ila majiji yanapaswa yawe na mpangilio unaoeleweka na usafi na huduma zinazoendane na hadhi yake.
Yaambie haya mashamba ya maghorofa
 
Ungekuwa ndio uwezo wangu Dar ingebaki kama mji au jiji la zamani ila miji yoyote inayojengwa sasa hasa Dodoma ingejengwa kisasa ili iweze kustaimili majira yote ya mwaka hasa mvua. Nadhani wengi tunadhani kuwa jiji ni maghorofa ila majiji yanapaswa yawe na mpangilio unaoeleweka na usafi na huduma zinazoendane na hadhi yake.
Mkuu jiji ni vitu vingi
Ndio maana mada ililenga direct upande wa skyline tu. Wajuaji wa JF wakahamishia mada upande mwingine ndio maana unaona imefikia hapa
 
Cairo ni mji wa pili kwa kuwa na foleni kuliko miji yote Africa hii, ila hili huwezi fahamu maana wewe unaamini kila kitu cha nje ni kizuri. Tatizo lako ni ulimbukeni na upumbafu kuamini kila kitu cha Tanzania ni cha kuponda na kuona kibaya na hamna zuri.

Kisa umeolewa na kibabu uko unakoonekana nyani. Na ukifa mzoga wako utataka uletwe hapa.
We ni mpumbavu na akili huna ,Mimi Cairo nimefika Ba nimezunguka sijasimuliwa kama wewe mbumbumbu ambaye hujawahi vuka border ,Cairo na Hilo zizi lenu ni mbingu na ardhi mjinga wewe ,Toka humo zizini
 
Kwa nchi hii hakuna kama Dar es Salaam..

Pamoja na mapungufu iliyonayo but still Dar es Salaam is the most developed city in this entire country
Dar ndio jiji linalotangaza Tanzania kimataifa pia
 
We ni mpumbavu na akili huna ,Mimi Cairo nimefika Ba nimezunguka sijasimuliwa kama wewe mbumbumbu ambaye hujawahi vuka border ,Cairo na Hilo zizi lenu ni mbingu na ardhi mjinga wewe ,Toka humo zizini
Ndio maana nilijua tu tangu mwanzo we mzee ni kilaza
Vitu vyote unavyopondea Dar, vipo Cairo tena mara mbili yake
Slums_of_Egypt_Cairo.jpg
jvot5extmhw51.jpg
 
Cairo ni mji wa pili kwa kuwa na foleni kuliko miji yote Africa hii, ila hili huwezi fahamu maana wewe unaamini kila kitu cha nje ni kizuri. Tatizo lako ni ulimbukeni na upumbafu kuamini kila kitu cha Tanzania ni cha kuponda na kuona kibaya na hamna zuri.

Kisa umeolewa na kibabu uko unakoonekana nyani. Na ukifa mzoga wako utataka uletwe hapa.
Kwa logic yako Cairo ya watu millioni 10 ingekuwa jehanamu ukilinganisha na hilo zizi lenu ,you guys are so dumb and backward ,you dont even make sense
 
Wewe KIAZI?

Ulitaja FRANKFUT umegeuka tena ???

Botswana kuna nini, zaidi ya mali za Wazungu kwenye nchi.ya watu milioni 3?

Rwanda kuna kitu gani?

Kisehemu kama Upanga tu??

Morocco ni nchi masikini tu kama Tanzania, haina maajabu yoyote wewe zuzu.

Kwasababu ya hiyo Tram, na bimiji vya Tangier, Marakesh na Casablanca ndio unaona Morocco katoboa??

Pumbavuuu
Acha ujinga, Morroco sio nchi masikini.
Morocco ni nchi yenye uchumi mkubwa mara mbili ya Tanzania na ni mojawapo ya nchi chache barani Africa zenye miondombinu bora zaidi ya kila aina.
 
Morocco, Upanga, Masaki, Msasani kunavutia ila ghorofa za Kariakoo na Ilala ni vichekesho
Ghorofa zimekaa kama magofu, ngazi zake kupishana hata watu wawili tu ni shida.
 
Ungekuwa ndio uwezo wangu Dar ingebaki kama mji au jiji la zamani ila miji yoyote inayojengwa sasa hasa Dodoma ingejengwa kisasa ili iweze kustaimili majira yote ya mwaka hasa mvua. Nadhani wengi tunadhani kuwa jiji ni maghorofa ila majiji yanapaswa yawe na mpangilio unaoeleweka na usafi na huduma zinazoendane na hadhi yake.
Hakika, wabongo wengi hawaelewi hili. Jiji linapendeza kama limepangwa vizuri na ni safi hata kama halina maghorofa mengi na makubwa, mfano Rome, Paris, Muscat
 
Dar ndio jiji linalotangaza Tanzania kimataifa pia
Acha ujinga, Morroco sio nchi masikini.
Morocco ni nchi yenye uchumi mkubwa mara mbili ya Tanzania na ni mojawapo ya nchi chache barani Africa zenye miondombinu bora zaidi ya kila aina.
Mjinga huyu ,akili wala exposure Hana , tatizo LA wabongo wengi ujuaji usio na kichwa wala miguu Kama huyu mshamba huyu
 
Mjinga huyu ,akili wala exposure Hana , tatizo LA wabongo wengi ujuaji usio na kichwa wala miguu Kama huyu mshamba huyu
Umeunganisha post mbili tofauti kujaribu kutafuta support ya Yoda
Umeona nikiongelea Morocco
 
Hata sio Dar,
Tanzania inajulikana zaidi kimataifa kupitia Arusha, Kilimanjaro na Zanzibar.
Arusha ni famous kwa safari experience, na Kilimanjaro sio jiji
Nikisema jiji simaanishi Ngorongoro
 
We ni mpumbavu na akili huna ,Mimi Cairo nimefika Ba nimezunguka sijasimuliwa kama wewe mbumbumbu ambaye hujawahi vuka border ,Cairo na Hilo zizi lenu ni mbingu na ardhi mjinga wewe ,Toka humo zizini
Wewe ni ng'ombe tu huna lolote kapuku mmoja. Hakuna mtu yeyote aliyefika Cairo hajui kama kuna foleni. Labda kama ulifungiwa chumbani na mumeo.

Wewe muuza uji, kengemaji tu.
 
Arusha ni famous kwa safari experience, na Kilimanjaro sio jiji
Nikisema jiji simaanishi Ngorongoro
Jiji la Dar es Salaam ni maarufu zaidi kwa nchi zinazotuzunguka kwa sababu ya bandari ila huko duniani kwengine Ulaya, Marekani, Canada n.k ukisema umetoka Dar es Salaam wengi ni mpaka wakaangalie kwenye ramani huo mji uko wapi. Utaeleweka haraka zaidi ukisema umetoka Kilimanjaro, Arusha au Zanzibar.
 
Back
Top Bottom