Siwezi kulala njaa inauma, nipo ugenini

Siwezi kulala njaa inauma, nipo ugenini

Guys nipo mkoa fulani sasa mchana nilikula ugali nikaleta zile mbwembwe za Dar za sili usiku zaidi ya matunda tu,

Sielewi nini kimetokea ila njaa inaniuma siwezi kulala na siwezi kutoka kutafuta chakula wala sina mtu ninayemjua nimuagize,

Tumbo linaunguruma, baridi kali kuna vibiscuti wala havitoshi, tumbo lataka chips kuku paja au ndizi choma mishikaki,

Nyie kumbe njaa inauma namna hii🙌🏻
Kujeni basi tupige story, i can't sleep😭
😊☺️ Kuna tofauti Kati ya njaa na HAMU YA KULA.

Wewe una hamu ya kula njaa ni noma ndugu.

IMG-20260810-WA0023.jpg
 
Yote hayo...mi nilijishaua siku moja kumuunga mkono waifu kufungaa kwaresma..wee mbona ilipofika saa tano asubuhi tuu naona wana wa israel..
😆😆😆😆atleast ulipata uzoefu
 
Yote hayo...mi nilijishaua siku moja kumuunga mkono waifu kufungaa kwaresma..wee mbona ilipofika saa tano asubuhi tuu naona wana wa israel..
Uvumilivu wangu kwenye njaa ni mkubwa mnoo!

Naijua njaa hasa hasa pale unapo kosa kitu cha kutafuna.

Utaikumbuka misosi yote uliyo wai kusaza.

Achana na njaa hapa sizungumzii hamu ya kula nasema ile hali tumbo likiwa TUPU (EMPTY STOMACH)
 
Guys nipo mkoa fulani sasa mchana nilikula ugali nikaleta zile mbwembwe za Dar za sili usiku zaidi ya matunda tu,

Sielewi nini kimetokea ila njaa inaniuma siwezi kulala na siwezi kutoka kutafuta chakula wala sina mtu ninayemjua nimuagize,

Tumbo linaunguruma, baridi kali kuna vibiscuti wala havitoshi, tumbo lataka chips kuku paja au ndizi choma mishikaki,

Nyie kumbe njaa inauma namna hii🙌🏻
Kujeni basi tupige story, i can't sleep😭
Wewe hauwezi kusustain siku nzima bila kula..
Ndo watu wa Dar mlivyo mara umekula clips, mara umeagiza burger, mimi niko Dar ila nimejifunza kuto kula kula kila mda kama watu wa huku..

Jau tu ndo maana watu wamefutuka kama tembo
 
Back
Top Bottom