Guys nipo mkoa fulani sasa mchana nilikula ugali nikaleta zile mbwembwe za Dar za sili usiku zaidi ya matunda tu,
Sielewi nini kimetokea ila njaa inaniuma siwezi kulala na siwezi kutoka kutafuta chakula wala sina mtu ninayemjua nimuagize,
Tumbo linaunguruma, baridi kali kuna vibiscuti wala...
Baada ya kumaliza form six nilirud mkoan, nyumbani nilikuwa sina cha kufanya, hakuna pesa, likizo ni ndefu sana.
maisha yalikuwa ya kuamka, kula, kulala na kushinda vijiweni kupiga stori za mpira, mademu na matajiri.
Nilihitaji pesa, nilienda kufanya kazi ya ukuli. asikuambie mtu kubeba...
Harakati za kuvuka boda zinaendelea
Nikiwa kama up coming graduate, baada ya masomo siwezi kukaa bongo land
Bora nikasafishe mitaro UK au Sweden huko kama vipi niwe mlinzi Dubai kuliko kuangaika bongo
Kwa wale wataalamu na diasopora ni fani ipi nikiwa nayo nchi yoyote hata kama sijui Lugha...
Kama unataka kulala njaa tegemea pesa ambayo ipo kwenye mfuko wa mtu mwingine.
Usiache jua lizame kwa kuendelea kusubiri hela ambayo umeahidiwa kupitia kauli zifuatazo;
(a) "Usijali leo uhakika nitakutumia baadae"😃
(b) "Nipo somewhere hakuna huduma ya pesa, nikirudi nitakutumia"😃
(c) "Nitumie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.