Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,540
- 18,308
- Thread starter
- #21
Tateeeeee,Huko Kuna njaa 🙌
Najua hakuna hata wanakotengeneza vikachori.
Pole jamani.
Kachori na vibagia dah usiku mrefu huu
Tateeeeee,Huko Kuna njaa 🙌
Najua hakuna hata wanakotengeneza vikachori.
Pole jamani.
Ushaanza kurogwa, ondoka huko harakaGuys nipo mkoa fulani sasa mchana nilikula ugali nikaleta zile mbwembwe za Dar za sili usiku zaidi ya matunda tu,
Sielewi nini kimetokea ila njaa inaniuma siwezi kulala na siwezi kutoka kutafuta chakula wala sina mtu ninayemjua nimuagize,
Tumbo linaunguruma, baridi kali kuna vibiscuti wala havitoshi, tumbo lataka chips kuku paja au ndizi choma mishikaki,
Nyie kumbe njaa inauma namna hii🙌🏻
Kujeni basi tupige story, i can't sleep😭
Uoga wako tuAh ugenini usiku nitoke nikatafute msosi, nipo mjini ila hapana usalama kwanza
Nafanya delivery kanda ya ziwa yoteNingekua Tanga ningekua nishakucheki mapema sana unitengenezee wali nazi na samaki wa kupaka😋 ila sasa nipo kanda ya ziwa
SolutionUmenipa wazo ngoja niwapigie simu,
Thanks
Daaaaah!😂Ushaanza kurogwa, ondoka huko haraka
Noma hii, ila kwenye njaa hata katuni huielewi, njaa isikie hivyo hivyo
Ulikua wapi kipindi nanyanyaswa na njaa jamani🥲Nafanya delivery kanda ya ziwa yote
Walisema hawana mtu wanayemjua, sijui walidhani nataka urojo,Solution
Hatoboi huyu..huwa napiga mpaka 96hrs.Wewe mfungo wa masaa 72 kavu hutoboi
Sina dhambi za kunipelekesha namna hiyoHatoboi huyu..huwa napiga mpaka 96hrs.
Hiki sasa ndio kiswahili fasaha!Pole, sababu unajua hautapata ndio inapamba
Kama kuna maziwa kwa friji kunywa, ya uvugu au moto mazuri.. Utalala tu.. Labda iwe eeeh unataka bado hayo umetaja
Kaeni kwenye kochi ili usingizi ukija tu unaegesha hapo hapo!😅
Hongera comrade nimeipenda hiiHatoboi huyu..huwa napiga mpaka 96hrs.
Ahsante mkuu..hapo kati ni mwendo wa maji+electrolytes na plain black tea..Hongera comrade nimeipenda hii
Mkuu hii OMAD imekaaje , ni afya kufanya hivi lakini pia unakua kwenye viwango imara sana vya kiroho,lazima tujichaji adui hawezi tukamchukulia poa lazima auone upande wapili wa kiroho moto tulionao huwa nafurahi sana kujichaji nguvu za kirohoAhsante mkuu..hapo kati ni mwendo wa maji+electrolytes na plain black tea..
Hii huwa naifanya once per month.but nafanya 48hrs mpaka 54hrs once every week..na pia nafanya OMAD..sikumbuki mara ya mwisho kula milo miwili ni lini..
One call away 😃😃Ulikua wapi kipindi nanyanyaswa na njaa jamani🥲