Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Waambie wasikughasi usiwaghasi......kama unawakera waambie waku leave alone!!kwa raha zako, raha jipe mwenyewe mwaya!! Kwanza wa kuwakera utakuwa wewe?? wanachonga sana juu yako achana nao............wanataka umkosee Mungu wako achana nao washawasha
Nashangaa!
Nalog off
 
Naona mnachanganyana tu humu ndani...wengne wana log off,wengne wana log out,wengne log in..mpaka kuna wanao shutdown...sasa mi nachomoa power cable kabisa na wale wanaotumia laptop natoa betri...na mkiendelea nazima kabisa main switch...alah!
hahahahah punguza munkari
Nalog off
 
Haka katabia ukijiendekeza Ukakazowea sana unaeza ukajikuta hadi wkt uko kwene mambo yetu yale unakaribia kupanda au kushuka kibo unamwambia mwenzio, ati “baby,nalog off“!
basi ukimwambia hivyo my wife wako lazima ajisikie raha.
Nalog off
 
Nisameheni kwa ushamba wabgu. Nadhanu na log off inasimama kama kutoa Shilingi katika bajeti za Wizara tofauti ktk bunge nchini Tanzania. Inamaanosha nimekuabli KUTOKUBALIANA NAWE.

Jaribu kuichukulia hivyo na naamini jazba zako zitashuka na kuendekea kuwa na mchango wenye busara na msaada kwa wana JF wote na watembeleaji wa website hii
Aminia mkuu,twende zetu tukavute SURUMA.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Daaah kuishi kwingi...............Kumbe ukiingia hotelini ukamkuta mtu anatumia pepper as an appetizer unaweza kuanza kuwaambia loudly wateja wote hapo hotelini kuwa wanaokula pilipili wanafanya upumbavu(-fu)

Bujibuji; Na loggi-offu
hahahaha pamoja sana kiongozi OLESAIDIMU.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
hahaa.,kuna yule wa MIA.ananiachaga hoi,.yeye anijua dar kama nini sijui.,bar zote anzijua, guest zote, yani kila kitu..in short, he is a dar tour guide as well as a directory himself.,
big up sana figganigga.mia
a serio mesmo.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
utoto na ushamba ndio vinamsumbua washawasha
kwa kuwa wewe ni Kiranja Mkuu, ndio unajiona mkubwa?halafu kuhusu ushamba uliousema sikubaliani nawe,kwenye ujanja sidhani kama unanifikia japo nusu,nadiriki kusema hivi hata kama hatujuani.
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
0dxnstBrz.gif
wakiwa mazoezini farkhina na Free Thinker,
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom