Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

0dxnstBrz.gif
 
Kuna kamtindo kameingia siku hizi, mtu ana comment halafu anasema "nalog off", na kibaya zaidi unaendelea kumuona online.
Hivi mnaposema "nalog off" mnakuwa mnakwepa maswali au ndio ubitozi wenu tu ndio unaowasumbua?

kama hupendi wewe ... ndio uanzishe thread mkuu ..... nalog off!!

I kinda like it, although nalog off again !

kama hupendi wewe ... ndio uanzishe thread mkuu ..... nalog off!!

I kinda like it, although nalog off again !
Mkuu njiwa ,vipi kwema? namshukuru sana Bujibuji kaitangaza sana hii trade mark abarikiwe,nawe asante sana kwa sapoti yako.Nalog off
 
mimi siko hapa kukufurahisha wewe,naandika kile ninachokipenda,uneridhwa ama hukuridhishwa kimpango wako,nitaendelea kuandika hivyo bila chenga.Hilo lote donge hilo,wanaona donge hao,hao hao wachekeni,hao hao wazomeeni.Nalog off

Hahahaha walau nimecheka baada ya stress za mhindi..

Kweli jf rahaa sanaa..

Nalog off...tihitihi
 
Mkuu njiwa ,vipi kwema? namshukuru sana Bujibuji kaitangaza sana hii trade mark abarikiwe,nawe asante sana kwa sapoti yako.Nalog off

kwema mkuu ... na nipo jukwaa la siasa mara moja kuwafundisha magwanda siasa za kistaarabu... hapa nilipita tu mara moja kukupa support nalog off

kwema mkuu ... na nipo jukwaa la siasa mara moja kuwafundisha magwanda siasa za kistaarabu... hapa nilipita tu mara moja kukupa support nalog off

Nashukuru mkuu nitakuja huko pia kukusapoti ,mpaka kieleweke ndugu yangu zile fitna tuzitoe kabisa.Nalog off
 
Back
Top Bottom