Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,434
Pamoja sana.twiih...
nalog in
Nalog off
Pamoja sana.twiih...
nalog in
hawakiwezi haka kamsemo valid statement.hako ka msemo nalog off kamepata umaarufu wa gafla hapa jf kama padri kufumaniwa na sista.
Nakwambia kamchunia kama hamjui vile.namhurumia farkhina,naona Free Thinker hana hata time
mbona hii post ilikuwepo toka kipindi ambacho watu hawana shughuli na hiyo fesi1000,instagram wala hiyo whatsapp?Halafu ni nani ambaye anasema nalog off kwenye fesibuku ili nimshtaki?
Nalog off
Kuna kamtindo kameingia siku hizi, mtu ana comment halafu anasema "nalog off", na kibaya zaidi unaendelea kumuona online.
Hivi mnaposema "nalog off" mnakuwa mnakwepa maswali au ndio ubitozi wenu tu ndio unaowasumbua?
Stahamili japo unaumia.Nilikuwa siupendi mpaka nikajikuta nimeuzoea ikanilazimu niupende tu hivyo hivyo.
nimekuelewa.bwana ehh utajua tu
ni mawazo yako.Hii ni moja ya matumizi mabaya ya Signature mkuu!!
sawa ngoja nimwambie.heee! ilikuwepo? mwambie huyo anayakuangalia hapo kwani ndiye aliyeweka face1000
umeona eh!Hapo hajakuomba vocha unakereka,angekuwa anaandika hvyo halafu anakutaka umtumie vocha je....??
We dokta uende shift sasa kumekucha Lady doctor