Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

tatizo ni watoto hao hawajakua wakikua wataacha bro
halafu kingine wanaleta mambo ya intragram, bbm, fb na
whatapp huku jf hawajui rules za huku zilivyo achana nao
watakupandisha na kushusha presha bure humkose sista wako
Kuna kamtindo kameingia siku hizi, mtu ana comment halafu anasema "nalog off", na kibaya zaidi unaendelea kumuona online.
Hivi mnaposema "nalog off" mnakuwa mnakwepa maswali au ndio ubitozi wenu tu ndio unaowasumbua?
 
Hahaaa bora umesema..kuna pimbi moja linaitwa washawasha kila kitu nalog off
 
tatizo ni watoto hao hawajakua wakikua wataacha bro
halafu kingine wanaleta mambo ya intragram, bbm, fb na
whatapp huku jf hawajui rules za huku zilivyo achana nao
watakupandisha na kushusha presha bure humkose sista wako
aiseee...
 
mbona hii post ilikuwepo toka kipindi ambacho watu hawana shughuli na hiyo fesi1000,instagram wala hiyo whatsapp?Halafu ni nani ambaye anasema nalog off kwenye fesibuku ili nimshtaki?
Nalog off
 
Hahaaa bora umesema..kuna pimbi moja linaitwa washawasha kila kitu nalog off
kweli kabisa mimi ni pimbi na wala sio mrefu,ila baada ya kukutukana wala sijasema nalog off nimekaa kimya.
Nalog off
 
Back
Top Bottom