Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
We dokta uende shift sasa kumekucha Lady doctor
hahahaaa.... Nilikuwa shift ya usiku ujue, yaani hapa naangalia ustaarabu wa kulala
Last edited by a moderator:
We dokta uende shift sasa kumekucha Lady doctor
hahahaaa.... Nilikuwa shift ya usiku ujue, yaani hapa naangalia ustaarabu wa kulala
Stahamili japo unaumia.
Nalog off
sio signature huwa naiandika kila nimalizapo kuongea.Hivi Washawasha hiyo nalog off ni signature ama unaandika manually kila ukimaliza comment?
sio signature huwa naiandika kila nimalizapo kuongea.
Nalog off
pamoja sana,ndenge nini?nalog off
pamoja kiongozi.Dah haya mkuu, bonge la identity
hakuna noma kaka nitawapa kura mia.
hakuna noma kaka nitawapa kura mia.
Nalog off
teyari nimeshapigia kura ya NDIO.utawapa kula zoezi likishafungwa?. kapige sasa hivi. mia
Pamoja sana kiongozi.Hiyo ni unique style yake
Nami pia nafanya hivyo.Nalog off.
Nakwambia sijui kafichwa wapi siku hizi.we Kabakabana uko wapi siku hizi?
Nakwambia sijui kafichwa wapi siku hizi.
Nalog off
Au anajiandaa na uchaguzi wa mwaka 2015?Tulikuwa tunakutana mara nyingi huko mtaani lakini siku hizi dah!
mimi siko hapa kukufurahisha wewe,naandika kile ninachokipenda,umeridhishwa ama hukuridhishwa kimpango wako,nitaendelea kuandika hivyo bila chenga.Hilo lote donge hilo,wanaona donge hao,hao hao wachekeni,hao hao wazomeeni.Nalog off
si atawazaba makofi.mbona mzee wa mia haambiwi