Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Naona mnachanganyana tu humu ndani...wengne wana log off,wengne wana log out,wengne log in..mpaka kuna wanao shutdown...sasa mi nachomoa power cable kabisa na wale wanaotumia laptop natoa betri...na mkiendelea nazima kabisa main switch...alah!
 
ndio nimeshakuja hapa na nitaendelea kulitumia hivyo hivyo bila chenga.Nalog off

Waambie wasikughasi usiwaghasi......kama unawakera waambie waku leave alone!!kwa raha zako, raha jipe mwenyewe mwaya!! Kwanza wa kuwakera utakuwa wewe?? wanachonga sana juu yako achana nao............wanataka umkosee Mungu wako achana nao washawasha
 
Naona mnachanganyana tu humu ndani...wengne wana log off,wengne wana log out,wengne log in..mpaka kuna wanao shutdown...sasa mi nachomoa power cable kabisa na wale wanaotumia laptop natoa betri...na mkiendelea nazima kabisa main switch...alah!
Bora wewe umeamua. Nalog off
 
Waambie wasikughasi usiwaghasi......kama unawakera waambie waku leave alone!!kwa raha zako, raha jipe mwenyewe mwaya!! Kwanza wa kuwakera utakuwa wewe?? wanachonga sana juu yako achana nao............wanataka umkosee Mungu wako achana nao washawasha
Ahsante sana kwa kuliona hilo,nimekusoma vizuri sana. Nalog off
 
Haka katabia ukijiendekeza Ukakazowea sana unaeza ukajikuta hadi wkt uko kwene mambo yetu yale unakaribia kupanda au kushuka kibo unamwambia mwenzio, ati “baby,nalog off“!
 
08YdHrZgk.gif
hahahaaa! Dogo kanifurahisha sana.
 
Kuna kamtindo kameingia siku hizi, mtu ana comment halafu anasema "nalog off", na kibaya zaidi unaendelea kumuona online.
Hivi mnaposema "nalog off" mnakuwa mnakwepa maswali au ndio ubitozi wenu tu ndio unaowasumbua?

Nisameheni kwa ushamba wabgu. Nadhanu na log off inasimama kama kutoa Shilingi katika bajeti za Wizara tofauti ktk bunge nchini Tanzania. Inamaanosha nimekuabli KUTOKUBALIANA NAWE.

Jaribu kuichukulia hivyo na naamini jazba zako zitashuka na kuendekea kuwa na mchango wenye busara na msaada kwa wana JF wote na watembeleaji wa website hii
 
Daaah kuishi kwingi...............Kumbe ukiingia hotelini ukamkuta mtu anatumia pepper as an appetizer unaweza kuanza kuwaambia loudly wateja wote hapo hotelini kuwa wanaokula pilipili wanafanya upumbavu(-fu)

Bujibuji; Na loggi-offu
 
Haka katabia ukijiendekeza Ukakazowea sana unaeza ukajikuta hadi wkt uko kwene mambo yetu yale unakaribia kupanda au kushuka kibo unamwambia mwenzio, ati "baby,nalog off"!

mie mbona huwa namwambia my wife wangu na anapenda kishenzi.Nalog off
 
Back
Top Bottom