Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Nimewaona wadau baadhi ila kuna mmoja (na atakuja hapa) amekuwa kila akitoa mawazo yake bila kujali uzito wake wa hoja lazima aseme hicho unachokiita 'upumba(fu)vu, bahati mbaya bado utamuona anaendelea kuwepo na kuongeza michango bila kusahau hilo neno zuri unalolichukia
 
Huo msemo mie nimeupenda.... Sema alouleta anakosea kuutumia,
ilitakiwa autumie pale tu akimaanisha. Kama vile ambavo Klorokwini
akisema ana log off, kweli ana log off!! Itabidi tumpe seminar Washawasha
ambae ndo yupo considered ni trade mark yake...

Bjbj genueinely ndo na "log off"
 
jamani ile ni swaga za mtu tu,mbona haina tatizo

Ni swaga lakini inaboa ndo maana watu wanakerwa, kwa sababu ni kama haina maana, kama unataka swaga basi uwe creative utoke na kitu cha ukweli sio kujiandikia chochote ali mradi watu wajue upo. hata mimi huwa inaniboa kwa kweli sitaki kuwa mnafiki.
 
Huo msemo mie nimeupenda.... Sema alouleta anakosea kuutumia,
ilitakiwa autumie pale tu akimaanisha. Kama vile ambavo Klorokwini
akisema ana log off, kweli ana log off!! Itabidi tumpe seminar Washawasha
ambae ndo yupo considered ni trade mark yake...

Bjbj genueinely ndo na "log off"

Anamuiga Mia
 
Kuna kamtindo kameingia siku hizi, mtu ana comment halafu anasema "nalog off", na kibaya zaidi unaendelea kumuona online.
Hivi mnaposema "nalog off" mnakuwa mnakwepa maswali au ndio ubitozi wenu tu ndio unaowasumbua?
mimi siko hapa kukufurahisha wewe,naandika kile ninachokipenda,umeridhishwa ama hukuridhishwa kimpango wako,nitaendelea kuandika hivyo bila chenga.Hilo lote donge hilo,wanaona donge hao,hao hao wachekeni,hao hao wazomeeni.Nalog off
 
Back
Top Bottom