Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Siupendi kabisa huu upumbavu wa "nalog off"

Jamani hili suala lipo wazi, kwa mara ya kwanza itakusumbua lakini ukijua kuwa ndiyo swaga ya mshikaji jukwaani unaipotezea.
Hivi siku ya wajinga haiboi? Mbona watu wanaishadadia!
Bujubuji unatakiwa kuelewa mtu anatumiaje hilo neno, vinginevyo tuombe muongozo kwa MoDs.
Tata zambe yoka LOSAMBO ya bana. Nashukuru kwa uelewa wako. Nalog off
 
mi naomba kwakweli asiache koz ananifuraisha munoooooooooo..........i mean it

hahaa.,kuna yule wa MIA.ananiachaga hoi,.yeye anijua dar kama nini sijui.,bar zote anzijua, guest zote, yani kila kitu..in short, he is a dar tour guide as well as a directory himself.,
big up sana figganigga.mia
 
hahaa.,kuna yule wa MIA.ananiachaga hoi,.yeye anijua dar kama nini sijui.,bar zote anzijua, guest zote, yani kila kitu..in short, he is a dar tour guide as well as a directory himself.,
big up sana figganigga.mia

hahahaaa...!!, mkuu dar kubwa sana.mi najua kama robo tu!.mtu unakuta amekaa bonyokwa miaka10 ukimuuliza mgeni nani au ununio ipo wapi au blue fish ipo wapi jibu atakalokupa utajua ni mgeni kumbe mwenyeji.mia
 
Huo msemo mie nimeupenda.... Sema alouleta anakosea kuutumia,
ilitakiwa autumie pale tu akimaanisha. Kama vile ambavo Klorokwini
akisema ana log off, kweli ana log off!! Itabidi tumpe seminar Washawasha
ambae ndo yupo considered ni trade mark yake...

Bjbj genueinely ndo na "log off"

utoto na ushamba ndio vinamsumbua washawasha
 
Hata mimi sipendi vya "nalog off", mara "mia" etc. Ila siwezi kuita ujinga na hainikeri kiasi cha kuanzisha thread.
Ni trademark yake, yangu mimi nikuongea point.
 
Back
Top Bottom