shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,373
si atawazaba makofi.
Nalog off
hahaha nalog off
si atawazaba makofi.
Nalog off
hahaha nalog off
yahh! Now dayz analog in kwa user name ya jmushil1!
Fanya hivyo kaka.Na shut down.
Nakwambia watu wana majibu kabisa kwenye kona ya ulimi.Hahahahaha nimecheka ulivo mjibu jmushi1 mpaka watu wameshangaa
mimi siko hapa kukufurahisha wewe,naandika kile ninachokipenda,umeridhishwa ama hukuridhishwa kimpango wako,nitaendelea kuandika hivyo bila chenga.Hilo lote donge hilo,wanaona donge hao,hao hao wachekeni,hao hao wazomeeni.Nalog off
Nakwambia watu wana majibu kabisa kwenye kona ya ulimi.
Nalog off
Kuna jamaa anajiita washwawashwa humu
kitu cha Paraguay ndio mpango mzima.Hahahahahaha🙂 Hiyo labda uende URUGUAY...
]kitu cha Paraguay [/B]ndio mpango mzima.
Nalog off
Nishaanza kuchanganya madawa kama niimefukizia cha PARAGUAY hadi majina naona yako sawa
Tuendelee kulog off watuache bana ..
nalog Offni mwanzo mwisho mkuu.
Nalog off