Ukiwa selective sana nakuakikishia hadi unagonga 35 years utakua hujaolewa.problem unatamaa ya pesa hutaki uanze frm the bottom but at the top.Hata hao watu wenye pesa au wenye uangalau kiuchumi usije expect kimuonekano akawa outshined wengi wapo lowkey.hana muda wa kuvaa mavazi ya attention watu wajue ni nani sababu almost 75% ya watu wanaovaa smart ni maskini sababu they have alot of time to loose in the dressing room ili kuficha umaskini ndani ya nguo before getting out their ass out of the house.utakua na wakati mgumu wa kubadili hiyo tabia mpaka utakapo jitathmin na kujitambua wewe ni nan,upo wapi na unatakiwa uwe wapi muda huu kulingana na umri wako.kwa kukushauri haraka mrudie mungu wako kwa ukaribu sana iliakusaidie.kwasababu quality ya mwanaume unae mtaka sidhani kama nae anaweza kutaka mtu wa quality yako,bila hivyo my sister your pussy has a task of trial n trials to sucrifise for the game.kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
naona huyu anataka ashushiwe toka juu.Sasa my Dada bila hayo maongez huyo mchumba utampataje
Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
Yeah atapata ila asipanie sana. Aendelee na maisha kama kawa Mr. Right atakuja wakati asiotarajiahuenda hakuwa na shida ya men nw ndo anakumbuka! atapata tu!
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Yeah atapata ila asipanie sana. Aendelee na maisha kama kawa Mr. Right atakuja wakati asiotarajia
Watu wote hawako sawa, kupitia hivyo vimaswali vya kuudhi ndio vinaweza kumfanya akakufahamu zaidi na kuvutiwa ama kutovutiwa na wewe.Ukisema sina anaanza kuuliza vimaswali vya kuudhi
Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
Hili nalo nenoInteresting..
labda ndo njia ya kukukwepa tu wanajifanya una mtu kumbe kuna kitu kinawakimbiza
mbona wake za watu wanaojulikana wanatongozwa kama kawaida?
Unamwaga nondo tupuuHizi imani zako ndo zinazokimbiza wachumba
watu hutongozana kwa sababu tofauti hata kutamaniana tu
au kusogeza mda but wakaishia kuwa na future vilevile
sio wote waliooana walipanga kufunga ndoa
wengine walianza kama tu kupoteza mda wakanogeana ikaja ndoa..
Wewe unaetaka mtu akuhakikishie ndoa kwanza endelea kutafuta
Hahaha nakuona nakuona mkuuNgoja waje wasakatonge mkuu
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
[emoji122] [emoji122]Hizi imani zako ndo zinazokimbiza wachumba
watu hutongozana kwa sababu tofauti hata kutamaniana tu
au kusogeza mda but wakaishia kuwa na future vilevile
sio wote waliooana walipanga kufunga ndoa
wengine walianza kama tu kupoteza mda wakanogeana ikaja ndoa..
Wewe unaetaka mtu akuhakikishie ndoa kwanza endelea kutafuta
Hi, Mrs Air.hilo ni kweli maana anadai sept anataka atafute mtoto sidhan km ni nzuri maanna ni mapema sana!
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Lol, kumbe mlikua kwenye mgomo[emoji23]Watoto wa watu wanateseka sana.tuoe sasa
Kama ni hivyo ni sawa.Hakikisha tu kuwa mwanaume anaelewa vizuri msimamo huo huku ukimuonyesha kuwa unahitaji ndoa.Si jambo rahisi lakini linawezekana.Kila la heri.kuhusu sex .mengine tutasikilizana
Hebu nitafute tuyamalizekila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .