Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

Haha..kweli mkuu inabidi naye aweke mazingira ya kutongozwa. Nafikiri na nyie mabinti mnaotafuta wenza wekeni pia mazingira ya kujilengesha fulani kwa wanaume mnaofikiri watawafaa hata kama mnaona shida kuwatamkia. Wanaume ni wepesi kusoma hizi signal, mfano, unaweza hata kumsalimia kwa tabasamu, then inakuwa rahisi kwake pia kuunga story nyingine. Vinginevyo mtakuwa mnalalamika sana endapo na nyinyi hamtaweka mazingira ya kuwataka hao wanaume
Umeona eeh na wakati flan wanabidi hata kama anausafir anaacha anapanda daladala,
Si unataka kuolewa huku kila kona umeongozana na wake za watu na wanapete zao mikononi atakutongoza nani wakati atahisi tu nawe upo kwenye mchakato wa kuolewa.
 
Haha..kweli mkuu inabidi naye aweke mazingira ya kutongozwa. Nafikiri na nyie mabinti mnaotafuta wenza wekeni pia mazingira ya kujilengesha fulani kwa wanaume mnaofikiri watawafaa hata kama mnaona shida kuwatamkia. Wanaume ni wepesi kusoma hizi signal, mfano, unaweza hata kumsalimia kwa tabasamu, then inakuwa rahisi kwake pia kuunga story nyingine. Vinginevyo mtakuwa mnalalamika sana endapo na nyinyi hamtaweka mazingira ya kuwataka hao wanaume
Mimi siwezi

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Haha..inabidi ujitahidi tu mkuu, si unajua unaweza kuta wanaume wengine akishapigwa kibuti au kujibiwa vibaya na demu inaweza ikawa vigumu kwake kufanya approach nyingine hadi afanye reflection kwanza. Kwa hiyo ni vizuri pia na nyinyi mkasaidia kuweka mazingira hayo
 
Haha..kweli mkuu inabidi naye aweke mazingira ya kutongozwa. Nafikiri na nyie mabinti mnaotafuta wenza wekeni pia mazingira ya kujilengesha fulani kwa wanaume mnaofikiri watawafaa hata kama mnaona shida kuwatamkia. Wanaume ni wepesi kusoma hizi signal, mfano, unaweza hata kumsalimia kwa tabasamu, then inakuwa rahisi kwake pia kuunga story nyingine. Vinginevyo mtakuwa mnalalamika sana endapo na nyinyi hamtaweka mazingira ya kuwataka hao wanaume

hshhss duh! bas kweli hii ishu iko serious!wanaume muwaonee huruma!ila yataka moyo kweli kujitongozesha ! siku mmepishana uwiiiii
 
Sina tabia ya kuwajibu vibaya ila nina tabia ya kutokuwapa ushirikiano, wengi sio wastaarabu wana nina ya kuchezeana, mimi siwezi kwa kweli

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Nakama umesha gonga 30+ jiandae kuwa single mother

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
Not necessarily, kuna wanawake wanaolewa wakiwa na 30's na wanaishi na waume for their lifetime.

Kuna masingle mom wa miaka 18 au 20 na ikawa ndio forever hiyo.

Usiwaponde single moms.
 
Weka vigezo bas wenye vibamia vip tunaruhusiwa kuomba?

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Sina tabia ya kuwajibu vibaya ila nina tabia ya kutokuwapa ushirikiano, wengi sio wastaarabu wana nina ya kuchezeana, mimi siwezi kwa kweli

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
Yap, kuna changamoto nyingi kwenye kuanzisha na kudumisha haya mahusiano hasa kwenye zama hizi. Lakini Kwa vyovyote vile kila jinsia inatakiwa itimize wajibu wake inavyopasa, na kuomba neema zaidi toka kwa Muumba
 
Hizi imani zako ndo zinazokimbiza wachumba
watu hutongozana kwa sababu tofauti hata kutamaniana tu
au kusogeza mda but wakaishia kuwa na future vilevile
sio wote waliooana walipanga kufunga ndoa
wengine walianza kama tu kupoteza mda wakanogeana ikaja ndoa..

Wewe unaetaka mtu akuhakikishie ndoa kwanza endelea kutafuta
naomba kukutamani!
 
Inamaanisha hata anayeku-kula hamna? Hata majirani?

Something must be wrong somewhere...
Maana wamama na wajukuu ila wanamekwa nje kama kawa
 
Kila anaeniona anadhani nina mtu, naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje? Sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto, ngoja nitafute tu huku mtandaoni.
Tatizo lako humuamini mtu..Aliekutenda jana amekuathiri sana!!
 
Yap, kuna changamoto nyingi kwenye kuanzisha na kudumisha haya mahusiano hasa kwenye zama hizi. Lakini Kwa vyovyote vile kila jinsia inatakiwa itimize wajibu wake inavyopasa, na kuomba neema zaidi toka kwa Muumba
Amen

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
miss natafuta ya nini kuombea upewe mume wakati unaweza iba mume wa mtu kisha ukaombea msamaha?..
 
Ni vile unavyojiweka ki- already taken... You are single but acting taken...

Cc: mahondaw
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom