Sipati mchumba kwa sababu wananihisi vibaya

sasa ndio nmeelewa kwa nini uliamua kujiita Miss Natafuta.
usikate tamaa, omba Mungu na ww utapata wako wa kushare nae life.
i feel your loneliness, i wish i could help.
 
Miss Natafuta
Usajali. Message sent and delivered
Humu wamo wengi tu. Jaribu bahati yako. Ushahama kwenye chama?
Wifi yako anakusalimia sana
usiku mwema
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Ooh pole sana,,,,come to me

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Duh! Em fanya tuonane weekend maana haiwezekani mpaka sasa uwe single
 
Hizi imani zako ndo zinazokimbiza wachumba
watu hutongozana kwa sababu tofauti hata kutamaniana tu
au kusogeza mda but wakaishia kuwa na future vilevile
sio wote waliooana walipanga kufunga ndoa
wengine walianza kama tu kupoteza mda wakanogeana ikaja ndoa..

Wewe unaetaka mtu akuhakikishie ndoa kwanza endelea kutafuta
na ndio wengi wao wanapokosea hapo wanaishia kufunuliwa tu
 
naona uvivu wa kuanza kujibizana na mtu maana hata ukisema huna wanaanza maongezi marefu tena . mara onesha kidole kama una pete ,mara nipe simu yako nikae nayo siku mbili .all those drama mi inabidi nikubali tu
sio wote wenye akili za kiboya izo
 
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Muombe mungu utapata unachokitaka kwa mungu hakushindikani kitu
 
Hizi imani zako ndo zinazokimbiza wachumba
watu hutongozana kwa sababu tofauti hata kutamaniana tu
au kusogeza mda but wakaishia kuwa na future vilevile
sio wote waliooana walipanga kufunga ndoa
wengine walianza kama tu kupoteza mda wakanogeana ikaja ndoa..

Wewe unaetaka mtu akuhakikishie ndoa kwanza endelea kutafuta
Hahahah The boss like zimejaa ila wacha nikupe [emoji109] [emoji106] [emoji106] umeongea verry true

Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom