MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,086
Hi, Mrs Air.
Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
hello dogo!
Hi, Mrs Air.
Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Mara nyingi wadada wanaochagua Sana. Mwisho hupata tabu. Lakin sali. Mungu atakupa familia yako. Mimi nimeoa. Ningekuchek
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
kumla mke wa mtu hasa ukiwa unajua kua unaemla ni mke wa mtu tena bila element yoyote ya compulsion au intoxification ni kitu kibaya sana inaleta laana mbaya sana tusishabikie huu ushetani.mtu mwenye akili timamu utamtongoza mke wa mtu kweli? mke wa mtu anatongozwa aliwe tu sio wa future
nilivyovigundua haraka haraka kutoka kwenye comments za wadau na unavyojibnimeona yafuatayo kwanza kabisa una overconfidence,sio talkative na ukiongea ni mikato sana,unajua ni kitu gani kimekuchelewesha mpaka sasa hivi uko hivyo lakini hauko tayari kucompromise,self centered kind of person..kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
omg!!! sitaki kuamini, oky so your the sister now fine, lolhello dogo!
omg!!! sitaki kuamini, oky so your the sister now fine, lol
mambo dada yangu mpendwa.
Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
Namie ngoja nitafute mchumba sasakila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] just like always, i meant siamini kama umeniita dogo sio hayo mengine, siweki kinyongo ndio maana nikakupa hi,sasa ulitaka nisema mambo mwanamke mwwnzangu?/ww bado ni dogo! kifikra na kiumri!hope ur duing gud!(huamini nn sasa)huenda unapenda kuweka vinyongo km MAGUFULI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] just like always, i meant siamini kama umeniita dogo sio hayo mengine, siweki kinyongo ndio maana nikakupa hi,
lol,
"wewe bado mdogo kifikra na kiumri" lol hii statement yako for sure.
Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app
She's tryn to fix somethin she cant see, the truth is, her soul need a surgery. lol.nilivyovigundua haraka haraka kutoka kwenye comments za wadau na unavyojibnimeona yafuatayo kwanza kabisa una overconfidence,sio talkative na ukiongea ni mikato sana,unajua ni kitu gani kimekuchelewesha mpaka sasa hivi uko hivyo lakini hauko tayari kucompromise,self centered kind of person..
Ameeen,kumla mke wa mtu hasa ukiwa unajua kua unaemla ni mke wa mtu tena bila element yoyote ya compulsion au intoxification ni kitu kibaya sana inaleta laana mbaya sana tusishabikie huu ushetani.
sent from my ICBM using jamiiforums mobile app.
Namie ngoja nitafute mchumba sasa
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Lol, unajua dada unanichekesha huku, maswali gani hayo tena.peace! una boyfriend!?
Mweeh!
Nipigie pande hapo. Mi domo zege
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mweeh!
Nipigie pande hapo. Mi domo zege
Lol, unajua dada unanichekesha huku, maswali gani hayo tena.
Sent from my siemens kidole juu using JamiiForum mobile app