Mbadala sahihi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 280
- 139
Njoo PM tuyajenge
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2] kweli kutongozwa suna
unataka nn na umejuaje kma mm kakahv ww kaka mbn huwa unakuwa una lugha chafuu chafu namna hyo??yaan sijawah ona umecoment kistaarab una shda gan mkuu! unahis ukitukana ndo unapata ahuen rohon au ni malezi! dah!
kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Jina lako linatosha kujieleza, una mri gani? unajishughulisha na kitu gani? bwana wako wa mwisho mliachana kisa nini?kila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Njoo pm tuzungumze Mimi mwenyewe natafuta mkekila anaeniona anadhani nina mtu . naambiwa msalimie shemeji na mimi nawambia poa sasa nifanyeje?
sina hata boyfriend naona hata aibu kusema sina mpenzi wala mtoto.ngoja nitafute tu huku mtandaoni .
Hata mimi nimeshangaa. Wanaume wanatongoza mpaka wajawazito sembuse mdada wa kawaida?naskiaga kuna wanawake wengn huwa hawatongozwi kumbe kweli!!!!!!!! duh!
Hata mimi nimeshangaa. Wanaume wanatongoza mpaka wajawazito sembuse mdada wa kawaida?
Ukweli ni kwamba hauko peke yako na wengine ndio hawa wanaokupa pole hapa...binafsi nimekulewa kwamba hutaki mahusiano ya kufunuana then basi..Mungu ni mwema kama nia yako ni thabiti basi utampata..
Natamani ningetamka neno lakini nilishakua kwenye mahusiano huko nyuma nikanyoosha mikono..
Mimi nilidhani anataniaga tu but kadiri muda ulivyoenda nikajifunza kwamba ndio style ya maisha yake humu jukwaani.Comments zako nyingi upo negative sana kuhusu wanaume. Nilidhani labda unapend kuwa single.
Nyie wanaume mmemtenda dada wa watuMimi nilidhani anataniaga tu but kadiri muda ulivyoenda nikajifunza kwamba ndio style ya maisha yake humu jukwaani.