Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 29,582
- 86,017
Kinini?wacha tu tuendelee kuviwekea tinted na kianjif pembeni ka kupooza komwe !
Kinini?wacha tu tuendelee kuviwekea tinted na kianjif pembeni ka kupooza komwe !
NAMWAMBIA AMSHIRIKISHE BABA MTOTO, ANADAI HANA HISIA NAYE KABISA WALA HATAKI CHOCHOTE KUTOKA KWA BABA MTOTO WAKE, HIVYO TUSHIRIKIANE TUU MIMI NAYEYE MTOT ASOME, NA CHA KUSIKITISHA MTOTO NDO KWANZ YUKO LA DARASA LA PILI HIVYO SAFAR YA KIELIMU BADO NDEFU NA HATAKI DOGO ASOME GOVERNMENT KABISAUsichukue majukumu ya mwanaume mwingine kwa pressure ya mapenzi.
Kipato chako bado haki-match na hiyo lifestyle anayoitaka huyo mwanamke, unless otherwise uwe unaishi kwa ajili ya kutafuta hela ya kula na kuwahudumia tu na hauna malengo yako mengine.
Kama kweli anakupenda, awe realistic pia, mtoto ana baba yake, na responsibility haiwezi kuhamishwa tu kwa emotions, unaweza ku support kwa uwezo wako, but siyo kubeba jukumu zima.
Usiingie huo mtego kizembe.
Kibarua!🤦🏽♀️NAMWAMBIA AMSHIRIKISHE BABA MTOTO, ANADAI HANA HISIA NAYE KABISA WALA HATAKI CHOCHOTE KUTOKA KWA BABA MTOTO WAKE, HIVYO TUSHIRIKIANE TUU MIMI NAYEYE MTOT ASOME, NA CHA KUSIKITISHA MTOTO NDO KWANZ YUKO LA DARASA LA PILI HIVYO SAFAR YA KIELIMU BADO NDEFU NA HATAKI DOGO ASOME GOVERNMENT KABISA
Leso !Kinini?
HIYO 50000 NI KWA AJILI YA SKUL BUS KILA MWEZIKiherehere cha kujifanya anayaweza mapenzi na mtoto amuhudumie shule ya elfu 50 kwa term ndio ambadilishie mtoto shule? Akakope akomae mpaka kieleweke! Kulomba huwa ni raha mwanzoni tu majukumu yakiibuka ndio visingizio vinaonekana wazi..
Hapo labda uwe na kigereni tu cha maji uwe unaliosha tu😊Leso !
Mpe single mother akuhifadhie, anayajua maisha kuliko wewe, hautajuta.SHIDA HIYO LAKI NNE INGEKUW INAKUJA CASH KAMA MSHAHARA ILA SASA KUHIFADHI HIZI 15K ZA KILA SIKU MPAKA IFIKE HIYO LAKI NNE SIYO POA
Hebu tumieni akili, income yenu humo ndani haifiki hata 500k, hamjala, hamjalipa kodi na bills bado mnataka ada ya 1m! Mwambie ampeleke dogo kwa mzee wake, arudi mlombane mpk k ichanike!🫢HIYO 50000 NI KWA AJILI YA SKUL BUS KILA MWEZI
ADA NI MILIONI MOJA HIVYOO 250000 KILA ROBO MUHULA.
na geleni tena! naweka tu katoni kwa siti kila mtu akipanda ajiongezeHapo labda uwe na kigereni tu cha maji uwe unaliosha tu😊
Wekeaneni mgawanyo wa majukumu ukishindwa muache na uvumilie kumegewa mke tenaNA KWELI ROHO YANGU NAHISI ILIMVUTA MAANA ALIKUW AKITOKA KAZIN NAMFATA KAZINI SAA TISA USIKU SAA NYINGINE MVUA INANYESHA KABISA NA USAFIR UNAJUA ULIVYOSHIDA MIDA HIYO
End of the day mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe, be specific kwake mueleze kwa kipato chako cha sasa hautoweza kuhandle hizo gharama hata kama hatofurahia kusikia ukimwambia hivyo.NAMWAMBIA AMSHIRIKISHE BABA MTOTO, ANADAI HANA HISIA NAYE KABISA WALA HATAKI CHOCHOTE KUTOKA KWA BABA MTOTO WAKE, HIVYO TUSHIRIKIANE TUU MIMI NAYEYE MTOT ASOME, NA CHA KUSIKITISHA MTOTO NDO KWANZ YUKO LA DARASA LA PILI HIVYO SAFAR YA KIELIMU BADO NDEFU NA HATAKI DOGO ASOME GOVERNMENT KABISA
20'SUna umri gani?
Afu unadate na Misingo Mama?20'S
Kwa hiyo ulikua unadhani siku zote mambo yatakua kitonga?MWANZON MAMBO YALIKUWA RAHISI SABABU BABA WA MTOTO ALIKUWA ANA CLEAR BAADHI YA VITU HIVYO NILIKUWA NA ENJOY KIMTINDO. ILA ALIPOGUNGUDUA TUU MAMA MTOTO WAKE ANARUKA NA MIMI KACANCEL KABISA HATOI CHOCHOTE HAPIGI HATA SIMU KUULIZIA MTOTO WAKE
Embu naomba unisaidie kusema, mtoa mada sijui kalogwa😂😂 SeranSi uachane naye, au ni lazima uwe naye?😳
Ipi?Kuna comment imenipa signal kuwa hii ni Chai hii 🤣
Duuuh achana na baa medi, utakufa vibayaKazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo.
Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.
Sasa huyo baba mtoto baada ya kugundua mimi Nina mahusiano na huyu single maza wake, amekata mawasiliano kabisa na huyu single maza yaani hatoi hata Mia, siyo kodi, chakula wala Ada ya mtoto.
Nimejahidi kuwa nasaidia kuhusu chakula na kumchangia kodi(tukaanza kuishi wote) nasaidia pia mahitaji mengine madogo madogo, kwa bodaboda yangu nimekuwa nikimpeleka kazini na kumrudisha usiku wa manane bure kabisa,, ila mambo yamekuwa magumu ananitaka nilipe na Ada ya mtoto wake sasa.
Nimemwambia amshirikishe baba wa mtoto wake, anakataa anasema hataki msaada wowote kutoka kwa baba mtoto, kwamba ananipenda mimi kwasasa hivyo mimi ndiyoo nimsaidie hiyo hela ya Ada.
Kipato chake yeye ni 300000 kwa mwezi
Nyumba tunayokaa 100000 kwa mwezi
Dada wa kazi 50000
Mtoto wao anasoma private Ada 250000 kila robo muhula hivyo kwa mwaka milioni,
School bus 50000 kila mwezi
Hapo chakula bado na mahitaj mengine,
Kuhusu mimi kipato changu ni 15000 kwa siku nikitoa mafuta na hela ya tajiri,
Wakuuu hivi natoboa kweli hapaaaaaa
Baba wa mtoto kasusaaa kabisa
Wewe ni msenge, ushalishwa limbwata, mwanaume mwenzako apige BAO wewe usomeshe afu yeye Yuko hai mzima wa afya anakula Bata, wee ushalogwa wewe shtuka mapema kimbia, ukute ndo mbinu wamepanga na mume wake.NAMWAMBIA AMSHIRIKISHE BABA MTOTO, ANADAI HANA HISIA NAYE KABISA WALA HATAKI CHOCHOTE KUTOKA KWA BABA MTOTO WAKE, HIVYO TUSHIRIKIANE TUU MIMI NAYEYE MTOT ASOME, NA CHA KUSIKITISHA MTOTO NDO KWANZ YUKO LA DARASA LA PILI HIVYO SAFAR YA KIELIMU BADO NDEFU NA HATAKI DOGO ASOME GOVERNMENT KABISA