Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Daah, kuulizwa swali kama hilo hatari sana, halafu unawakuta na wenzie kama wawili hivi...hlf bili yao inakuja vinywaji laki 5 kasoro then unamuona anatoa hela kwny pochi analipa...hapo Mwanaume unawaza sasa cha kumuhonga🤣🤣🤣
Kwakweli napenda wanawake wa namna hii, hutetemekei mbwa, mwingine vinywaji vya laki tu utavitapika aki! Ndiomaana napenda kujigharamikia nikitoka kuepusha ushenzi huo!šŸ˜…
 
Nakwmabia hata wazuri wanaingia tamaa ukimchekea tu kosa!
af utakagi kukubali kushindwa wwšŸ™…
haya umesindaašŸ¤“
 
Attachments

  • image_search_1779348100000.gif
    image_search_1779348100000.gif
    28.9 KB · Views: 19
Kwakweli napenda wanawake wa namna hii, hutetemekei mbwa, mwingine vinywaji vya laki tu utavitapika aki! Ndiomaana napenda kujigharamikia nikitoka kuepusha ushenzi huo!šŸ˜…
Lakini pia Wanawake wa hivyo wengi kupata Real lovers ni ngumu kwsababu standard yao Wanaume wengi wenye Real love aidha wanawaogopa au hawawamudu...
Wanawake wa kizungu wengi wa Class hizo au zaidi wakiwa hapa Bongo wanajidogosha ili wamatch na Machalii🤣
 
Dahh hapo kweli Umesema! Ukiwa fake ni rahisi kupata shetani lako kuliko ukiwa real..
 
mistake kinoma, kujua kuna mwanaume anamuudumia na kujichukulia jiko(haina tofauti kubwa kubwa na umechukua mke wa mtu japo jamaa yupo mbali na anaihudumia familia ), ushaur wangu ikiwezekana peleka mtoto Governmt skul kwanza !
NILIMPATIA WAZO LA KUMPELEK MTOTO GOVERNMENT SCHOOL ILA SINGLE MAZA AKANIWASHIA MOTO BALAA ANASEMA MTOTO WAKE HAWEZI SOMA SHULE ZA SERIKALI KWAMBA HUKO ELIMU DUNI
 
NILIMPATIA WAZO LA KUMPELEK MTOTO GOVERNMENT SCHOOL ILA SINGLE MAZA AKANIWASHIA MOTO BALAA ANASEMA MTOTO WAKE HAWEZI SOMA SHULE ZA SERIKALI KWAMBA HUKO ELIMU DUNI
Si uachane naye, au ni lazima uwe naye?😳
 
NILIMPATIA WAZO LA KUMPELEK MTOTO GOVERNMENT SCHOOL ILA SINGLE MAZA AKANIWASHIA MOTO BALAA ANASEMA MTOTO WAKE HAWEZI SOMA SHULE ZA SERIKALI KWAMBA HUKO ELIMU DUNI
maza anazingua, anatakiwa aangalie kwanza kipato chenu wote na hali ya maisha saiv kupunguza matumizi yasiyo ya muhimu n.k
 
Majukumu yasiyo lazima.

Huyo dem ungekua ukijisikia hamu unamuita unajipigia, unampa 10000 ya usumbufu anaondoka zake.

Wewe ukaona ni bora uvute familia nzima uishi nayo.

Halafu wote sio ndugu zako.

Huyo demu sio ndugu yako, mtoto sio ndugu yako, mfanyakazi sio ndugu yako. STRANGERS!!!!

Mzee umeuvagaa mtumbwi wa vibwengo pambana.

Halafu pamoja na Majukumu yote hayo bila shaka bado kuna siku huwa unanyimwa unyumba bisha.
MWANZON MAMBO YALIKUWA RAHISI SABABU BABA WA MTOTO ALIKUWA ANA CLEAR BAADHI YA VITU HIVYO NILIKUWA NA ENJOY KIMTINDO. ILA ALIPOGUNGUDUA TUU MAMA MTOTO WAKE ANARUKA NA MIMI KACANCEL KABISA HATOI CHOCHOTE HAPIGI HATA SIMU KUULIZIA MTOTO WAKE
 
Back
Top Bottom