Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Ila alikuwa na kitu tight kama vile hajazaa.
Siku moja kakuta sms ya mwanamke mwingine anaomba elfu 8.
Ghafla mnuno ukaanza ila mwisho wa siku mnuno uliisha kwa kuzagamuana.
kwani we nani alikwambia ukizaa uke unakuwa wazi?
hmm 8000? 😕
 
Kazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo.

Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.

Sasa huyo baba mtoto baada ya kugundua mimi Nina mahusiano na huyu single maza wake, amekata mawasiliano kabisa na huyu single maza yaani hatoi hata Mia, siyo kodi, chakula wala Ada ya mtoto.

Nimejahidi kuwa nasaidia kuhusu chakula na kumchangia kodi(tukaanza kuishi wote) nasaidia pia mahitaji mengine madogo madogo, kwa bodaboda yangu nimekuwa nikimpeleka kazini na kumrudisha usiku wa manane bure kabisa,, ila mambo yamekuwa magumu ananitaka nilipe na Ada ya mtoto wake sasa.

Nimemwambia amshirikishe baba wa mtoto wake, anakataa anasema hataki msaada wowote kutoka kwa baba mtoto, kwamba ananipenda mimi kwasasa hivyo mimi ndiyoo nimsaidie hiyo hela ya Ada.

Kipato chake yeye ni 300000 kwa mwezi
Nyumba tunayokaa 100000 kwa mwezi
Dada wa kazi 50000
Mtoto wao anasoma private Ada 250000 kila robo muhula hivyo kwa mwaka milioni,
School bus 50000 kila mwezi

Hapo chakula bado na mahitaj mengine,

Kuhusu mimi kipato changu ni 15000 kwa siku nikitoa mafuta na hela ya tajiri,

Wakuuu hivi natoboa kweli hapaaaaaa

Baba wa mtoto kasusaaa kabisa
Usibebe majukumu yasiyo kuhusu, makosa yake yeye si mzigo wako na si lazima ubebe
 
Usichukue majukumu ya mwanaume mwingine kwa pressure ya mapenzi.

Kipato chako bado haki-match na hiyo lifestyle anayoitaka huyo mwanamke, unless otherwise uwe unaishi kwa ajili ya kutafuta hela ya kula na kuwahudumia tu na hauna malengo yako mengine.

Kama kweli anakupenda, awe realistic pia, mtoto ana baba yake, na responsibility haiwezi kuhamishwa tu kwa emotions, unaweza ku support kwa uwezo wako, but siyo kubeba jukumu zima.

Usiingie huo mtego kizembe.
 
Back
Top Bottom