Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Kazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo.

Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.

Sasa huyo baba mtoto baada ya kugundua mimi Nina mahusiano na huyu single maza wake, amekata mawasiliano kabisa na huyu single maza yaani hatoi hata Mia, siyo kodi, chakula wala Ada ya mtoto.

Nimejahidi kuwa nasaidia kuhusu chakula na kumchangia kodi(tukaanza kuishi wote) nasaidia pia mahitaji mengine madogo madogo, kwa bodaboda yangu nimekuwa nikimpeleka kazini na kumrudisha usiku wa manane bure kabisa,, ila mambo yamekuwa magumu ananitaka nilipe na Ada ya mtoto wake sasa.

Nimemwambia amshirikishe baba wa mtoto wake, anakataa anasema hataki msaada wowote kutoka kwa baba mtoto, kwamba ananipenda mimi kwasasa hivyo mimi ndiyoo nimsaidie hiyo hela ya Ada.

Kipato chake yeye ni 300000 kwa mwezi
Nyumba tunayokaa 100000 kwa mwezi
Dada wa kazi 50000
Mtoto wao anasoma private Ada 250000 kila robo muhula hivyo kwa mwaka milioni,
School bus 50000 kila mwezi

Hapo chakula bado na mahitaj mengine,

Kuhusu mimi kipato changu ni 15000 kwa siku nikitoa mafuta na hela ya tajiri,

Wakuuu hivi natoboa kweli hapaaaaaa

Baba wa mtoto kasusaaa kabisa
Hayo ni mambo ya kuongea nae huyo mwenzio kwa uwazi,na ukitaka akuelewe vizuri uwe unamwambia wakati mkuyenge umemuingia
Pili tuache kuwadhalilisha hawa masingo maza kwa kuwapakaza sifa za kuwa watu wabaya ambao hawaeldwi kitu,kwamba ni wabinafsi
 
mistake kinoma, kujua kuna mwanaume anamuudumia na kujichukulia jiko(haina tofauti kubwa kubwa na umechukua mke wa mtu japo jamaa yupo mbali na anaihudumia familia ), ushaur wangu ikiwezekana peleka mtoto Governmt skul kwanza !
Kiherehere cha kujifanya anayaweza mapenzi na mtoto amuhudumie shule ya elfu 50 kwa term ndio ambadilishie mtoto shule? Akakope akomae mpaka kieleweke! Kulomba huwa ni raha mwanzoni tu majukumu yakiibuka ndio visingizio vinaonekana wazi..
 
Kazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo.

Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.

Sasa huyo baba mtoto baada ya kugundua mimi Nina mahusiano na huyu single maza wake, amekata mawasiliano kabisa na huyu single maza yaani hatoi hata Mia, siyo kodi, chakula wala Ada ya mtoto.

Nimejahidi kuwa nasaidia kuhusu chakula na kumchangia kodi(tukaanza kuishi wote) nasaidia pia mahitaji mengine madogo madogo, kwa bodaboda yangu nimekuwa nikimpeleka kazini na kumrudisha usiku wa manane bure kabisa,, ila mambo yamekuwa magumu ananitaka nilipe na Ada ya mtoto wake sasa.

Nimemwambia amshirikishe baba wa mtoto wake, anakataa anasema hataki msaada wowote kutoka kwa baba mtoto, kwamba ananipenda mimi kwasasa hivyo mimi ndiyoo nimsaidie hiyo hela ya Ada.

Kipato chake yeye ni 300000 kwa mwezi
Nyumba tunayokaa 100000 kwa mwezi
Dada wa kazi 50000
Mtoto wao anasoma private Ada 250000 kila robo muhula hivyo kwa mwaka milioni,
School bus 50000 kila mwezi

Hapo chakula bado na mahitaj mengine,

Kuhusu mimi kipato changu ni 15000 kwa siku nikitoa mafuta na hela ya tajiri,

Wakuuu hivi natoboa kweli hapaaaaaa

Baba wa mtoto kasusaaa kabisa
Mnapoambiwaga Unzizi ni zambi mnazani hadi ufe ndio ukazikute zambi zako kaburini, umewatenganisha wana familia kwa tamaa zako za kimwili, sasa unabebeshwa majukumu yaliyotakiwa ayabebe muhusika unaaza kutoa milio hapa.
Tuondolee ujinga wako Mzee.
 
Kazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo.

Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.

Sasa huyo baba mtoto baada ya kugundua mimi Nina mahusiano na huyu single maza wake, amekata mawasiliano kabisa na huyu single maza yaani hatoi hata Mia, siyo kodi, chakula wala Ada ya mtoto.

Nimejahidi kuwa nasaidia kuhusu chakula na kumchangia kodi(tukaanza kuishi wote) nasaidia pia mahitaji mengine madogo madogo, kwa bodaboda yangu nimekuwa nikimpeleka kazini na kumrudisha usiku wa manane bure kabisa,, ila mambo yamekuwa magumu ananitaka nilipe na Ada ya mtoto wake sasa.

Nimemwambia amshirikishe baba wa mtoto wake, anakataa anasema hataki msaada wowote kutoka kwa baba mtoto, kwamba ananipenda mimi kwasasa hivyo mimi ndiyoo nimsaidie hiyo hela ya Ada.

Kipato chake yeye ni 300000 kwa mwezi
Nyumba tunayokaa 100000 kwa mwezi
Dada wa kazi 50000
Mtoto wao anasoma private Ada 250000 kila robo muhula hivyo kwa mwaka milioni,
School bus 50000 kila mwezi

Hapo chakula bado na mahitaj mengine,

Kuhusu mimi kipato changu ni 15000 kwa siku nikitoa mafuta na hela ya tajiri,

Wakuuu hivi natoboa kweli hapaaaaaa

Baba wa mtoto kasusaaa kabisa
lipa tu gentleman,
kwani sh.ngapi bana,
kwani mambo mangapi anakufanyia free na wakati mwingine unajikunja kama unadaka mpira kwenye 6kwa6? :BASED:
 
Wewe kama huwezi majukumu oa asiye na mtoto.

Hulipi ada za mtoto wa single mother, akiwasiliana na Mzazi Mwenzake nongwa..
Hivi humlipii mtoto wake Ada,
Mzazi mwenza amletee mapesa hata kama wametengana unafikiri hawataweza kupashana
 
Kiherehere cha kujifanya anayaweza mapenzi na mtoto amuhudumie shule ya elfu 50 kwa term ndio ambadilishie mtoto shule? Akakope akomae mpaka kieleweke! Kulomba huwa ni raha mwanzoni tu majukumu yakiibuka ndio visingizio vinaonekana wazi..
kulomba raha kweli ila inaponza, yan ghafla from single kuwa na familia, wife + mtoto + housegirl na yeye mwenyewe 😁
 
Back
Top Bottom