Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Mijadala Migumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
425
Reaction score
539
Kazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo.

Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.

Sasa huyo baba mtoto baada ya kugundua mimi Nina mahusiano na huyu single maza wake, amekata mawasiliano kabisa na huyu single maza yaani hatoi hata Mia, siyo kodi, chakula wala Ada ya mtoto.

Nimejahidi kuwa nasaidia kuhusu chakula na kumchangia kodi(tukaanza kuishi wote) nasaidia pia mahitaji mengine madogo madogo, kwa bodaboda yangu nimekuwa nikimpeleka kazini na kumrudisha usiku wa manane bure kabisa,, ila mambo yamekuwa magumu ananitaka nilipe na Ada ya mtoto wake sasa.

Nimemwambia amshirikishe baba wa mtoto wake, anakataa anasema hataki msaada wowote kutoka kwa baba mtoto, kwamba ananipenda mimi kwasasa hivyo mimi ndiyoo nimsaidie hiyo hela ya Ada.

Kipato chake yeye ni 300000 kwa mwezi
Nyumba tunayokaa 100000 kwa mwezi
Dada wa kazi 50000
Mtoto wao anasoma private Ada 250000 kila robo muhula hivyo kwa mwaka milioni,
School bus 50000 kila mwezi

Hapo chakula bado na mahitaj mengine,

Kuhusu mimi kipato changu ni 15000 kwa siku nikitoa mafuta na hela ya tajiri,

Wakuuu hivi natoboa kweli hapaaaaaa

Baba wa mtoto kasusaaa kabisa
 
Majukumu yasiyo lazima.

Huyo dem ungekua ukijisikia hamu unamuita unajipigia, unampa 10000 ya usumbufu anaondoka zake.

Wewe ukaona ni bora uvute familia nzima uishi nayo.

Halafu wote sio ndugu zako.

Huyo demu sio ndugu yako, mtoto sio ndugu yako, mfanyakazi sio ndugu yako. STRANGERS!!!!

Mzee umeuvagaa mtumbwi wa vibwengo pambana.

Halafu pamoja na Majukumu yote hayo bila shaka bado kuna siku huwa unanyimwa unyumba bisha.
 
Majukumu yasiyo lazima.

Huyo dem ungekua ukijisikia hamu unamuita unajipigia, unampa 10000 ya usumbufu anaondoka zake.

Wewe ukaona ni bora uvute familia nzima uishi nayo.

Sasa pamoja na Majukumu yote hayo bila shaka bado kuna siku huwa unanyimwa unyumba bisha.
Hapa naunga mkia hoja, huyo barmaid akigombana na mzaz mwenzie hiyo siku apewi
 
Back
Top Bottom