Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Hivi dar kuna mwanmke ukimtaka ukiwa na pesa yako anakataa kweli mjumbe
Sasa si inategemea na Mwanamke? Ingia hotel kubwa za Dar ukute wanawake wenye pesa zao hlf uingie na gia zako za kuhonga 50k ya kujaza gesi uone utakavyoangaliwa🤣🤣🤣
 
Sasa si inategemea na Mwanamke? Ingia hotel kubwa za Dar ukute wanawake wenye pesa zao hlf uingie na gia zako za kuhonga 50k ya kujaza gesi uone utakavyoangaliwa🤣🤣🤣
Gesi yenyewe sasa hivi ef 70 kasoro!

Mimi nawashangaa wanavyosema wanahonga kila dem aisee wawe makini mno!
 
Unamjibu tu suzuki swift no B hakuna jinsišŸ˜…
Daah, kuulizwa swali kama hilo hatari sana, halafu unawakuta na wenzie kama wawili hivi...hlf bili yao inakuja vinywaji laki 5 kasoro then unamuona anatoa hela kwny pochi analipa...hapo Mwanaume unawaza sasa cha kumuhonga🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom