Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Single Mother ananilazimisha kulipa ada ya mwanaye

Akili ya mtoa mada haipo sawa, si bure atakua anapewa kisamvu na huyo single mother, boda boda akiwaza ilo tako linavorendemka samvu, atalipata wapi kwingine anamaliza hesabu ya siku huko Mwamba 777
Duuuh huyu kweli akili hakuna kabisa bonge la bwege duuuh yawezekana ulosema ni sahihi kabisa ashazoea harufu ya mavi huyo, au keshapigwa limbwata hapa town ni kuwa makini matapeli ni wengi skuizi
 
Kwanza unaonekana hushauliki 🤔 Yan upate Mdada wa bar,alafu asiwepo wa kusema "Brother NO" , hahaha ama kweli siku hizi nayo jamii imeshachoka kushauri.
Basi sawa tuseme huyo baniani mbaya kiatu chake kitakuwa dawa 😁
 
End of the day mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe, be specific kwake mueleze kwa kipato chako cha sasa hautoweza kuhandle hizo gharama hata kama hatofurahia kusikia ukimwambia hivyo.

Malengo yako kwa sasa iwe ni kukuza uchumi wako, be realistic hata kama itakulazimu kuachana naye, focus yako iwe ni kujiendeleza zaidi ya ulivyo sasa, maana kipato chako bado ni kidogo sana kubeba jukumu kama hilo.
TATIZO ANAPENDA MAISHA FULAN HIVII
Hebu tumieni akili, income yenu humo ndani haifiki hata 500k, hamjala, hamjalipa kodi na bills bado mnata ada ya 1m! Mwambie ampeleke dogo kwa mzee wake, arudi mlombane mpk k ichanike!🫢
TATIZO ANAPENDA MAISHA FULAN HIVII, KIPATO CHAKE YEYE MWENYEW LAKI TATU DAAAH MIMI MWENYEW BODABODA WESE SAHIVI MPAKA BUKU NNE SIYO POA, KUPELEKA MTOTO KWA BABA YAKE HATAKI
 
Kwanza unaonekana hushauliki 🤔 Yan upate Mdada wa bar,alafu asiwepo wa kusema "Brother NO" , hahaha ama kweli siku hizi nayo jamii imeshachoka kushauri.
Basi sawa tuseme huyo baniani mbaya kiatu chake kitakuwa dawa 😁
HUYU SINGLE MAZA JAPO ANAFANYA KAZI BAR ILA ANAJIHESHIMU KIMTINDO, NAMKUBAL SANA ILA HAYA MAJUKUMU SASA YATANIUA MPAKA NATAMAN MIMI NDO NIMPIGIE HUYO BABA MTOTO ATOE ADA AISEEE YAAN MIMI MDOGO WANGU ANASOMA GOVERNMENT HALAF NILIPIE ADA YA MTOT WA MWINGINE PRIVATE
 
Achana na house girl, mtoto mwambie ampeleke kwao Bush ama kwa mzazi mwenzio ! Hameni hApo, pangeni chumba kimoja cha 50 tu ! Kwa pato lake na lako mtatoboa ! Huko kjjn kwa wAzazi wake mnakuwa mnatuma matumizi, pia asome shule ya kawaida za gharama nafuu !

Mnaishi maisha ya gharama kulingana na kipato, itafika siku mzazi wako anakuomba sukari huna hela ya kumpa

Kingine jitambue, unaonekana mshamba wa mademu
 
HUYU SINGLE MAZA JAPO ANAFANYA KAZI BAR ILA ANAJIHESHIMU KIMTINDO, NAMKUBAL SANA ILA HAYA MAJUKUMU SASA YATANIUA MPAKA NATAMAN MIMI NDO NIMPIGIE HUYO BABA MTOTO ATOE ADA AISEEE YAAN MIMI MDOGO WANGU ANASOMA GOVERNMENT HALAF NILIPIE ADA YA MTOT WA MWINGINE PRIVATE
Mmh! Haya, acha nikusaidie kusoma ushauri wa wengine tu 🙆‍♂️
 
Ukikubali kufanya huo ujinga siku za mbele utakuja kujilaumu zaidi ukijua kuwa hao wote baba na mama mtoto walikaa meza moja wakakubaliana wakukamue mpaka uharo,shtuka mjini shule huo ni mchongo wameupanga wote wawili,sema kingine watu mna roho ngumu aisee kuishi na baamedi kama mpenzi wako wa kudumu mimi mkurya na roho yangu ngumu lakini sijafikia hiyo hatua🙌🙌
Maneno magumu sana.
 
Kazi yangu ni bodaboda, na nilijuana na huyu single maza kupitia kazi yangu hii, maana yeye anafanya kazi bar hivyo uwa anatoka usiku sana, basi akachukua namba yangu ikawa kila usiku anapiga simu nimfate mda wa kutoka kazinina mazoea yakaanzia hapo.

Baba mtoto wake ni dereva wa halmashauri fulani huko mkoani, na anampenda sana huyu dada, kiufupi baba mtoto anaonekana alikuwa na malengo na huyu single maza, hata kuhudumia alikuwa anahudumia kwa uwezo wake aliyojaliwa.

Sasa huyo baba mtoto baada ya kugundua mimi Nina mahusiano na huyu single maza wake, amekata mawasiliano kabisa na huyu single maza yaani hatoi hata Mia, siyo kodi, chakula wala Ada ya mtoto.

Nimejahidi kuwa nasaidia kuhusu chakula na kumchangia kodi(tukaanza kuishi wote) nasaidia pia mahitaji mengine madogo madogo, kwa bodaboda yangu nimekuwa nikimpeleka kazini na kumrudisha usiku wa manane bure kabisa,, ila mambo yamekuwa magumu ananitaka nilipe na Ada ya mtoto wake sasa.

Nimemwambia amshirikishe baba wa mtoto wake, anakataa anasema hataki msaada wowote kutoka kwa baba mtoto, kwamba ananipenda mimi kwasasa hivyo mimi ndiyoo nimsaidie hiyo hela ya Ada.

Kipato chake yeye ni 300000 kwa mwezi
Nyumba tunayokaa 100000 kwa mwezi
Dada wa kazi 50000
Mtoto wao anasoma private Ada 250000 kila robo muhula hivyo kwa mwaka milioni,
School bus 50000 kila mwezi

Hapo chakula bado na mahitaj mengine,

Kuhusu mimi kipato changu ni 15000 kwa siku nikitoa mafuta na hela ya tajiri,

Wakuuu hivi natoboa kweli hapaaaaaa

Baba wa mtoto kasusaaa kabisa
Unaona wanaume tulivyo waharibifu! Wakati unavunja ndoa ya watu ulikuwa una mpango gani? Halafu kuna **** zinakuja kulaumu singo mazas hapa! Kama ulikuwa unajua ana mtu wake ambaye anatkmiza nahitaji yote ulianzaje kuishi naye? Huo mzigo ukabili tafadhali, hata kwa kuchechemea utatoboa tu!
 
Daaah usinifokee jaman
 
DAAAH LEO KIDOGO NIFE WADAU, BABA MTOTO NAONA SIJUI KAPATA LIKIZO MAANA LEO ASUBUHI KAJA HAPA TUNAPOISHI BILA TAARIFA, ASUBUHI MIDA YA SAA MOJA HIVI MLANGO UMEGONGWA, SINGO MAZA AKAFUNGUA KUMBE NI BABA MTOTO NDIYO YUKO MLANGONI,. SINGO MAZA AKASHITUKA AKAFUNGA NA KURUDI NDANI, AKANIAMBIA BABA MTOTO WAKE YUKO NJE HIVYOO YEYE ANATOKA NA MTOTO NJE HALAFU MIMI NIBAKI NIFUNGE MLANGO KWA NDANI. HIVYOO WAKATOKA....
KUMBE BABA MTOTO ALISHAUSOMA MCHEZO AKAWA ANAPIGA KELELE NA KUTUKANA SANA KAMA KWELI MIMI NI KIDUME NIFUNGUE MLANGO, KAPIGA SANA KELELE JARIBU SANA KUSUKUMA MLANGO NITOKE NDANI AKIDAI ANATAKA ANIJUE KWAMBA CHOCHOTE KITAKACHO MPATA MTOTO WAKE NTAWAJBIK HIVYO AKAWA ANAFOSI NIFUNGUE MLANGO LAKINI SINGO MAZA AKAWA ANANIAMBIA NISIFUNGUE,

UKAZUKA NJE UGOMV WA SINGO MAZA NA BABA MTOTO WAKE,, MSHIKAJ AKANITUSI SANA NA KUNIAMBIA NIMEMUHARIBIA FAMILIA YAKE AKAWA ANASISITIZA NIFUNGUE MLANGO MIMI NIKAMWAMBIA ASOGEE DIRISHAN MAANA SINGO MAZA ALINIAMBIA NISIFUNGUE MLANGO,,,
SINGO MAZA AKAWA ANAFOKA NAYE ANAMWAMBIA BABA MTOTO WAKE AONDOKE ANAMSUKUMA ATOKE NA KUMTOLEA LUGHA MBAYA AKIDAI YEYE ASHAMOVE ON NA MAISHA YAKE JAMAA AKAPANIKI SANA JAPO ALIJIZUIA HAKUMPIGA MAMA MTOTO WAKE,
BABA MTOTO ALIKUWA AMEKUJA NA VYAKUL NA MAHITAJ MENGINE YA MTOTO SINGO MAZA AKAMWAMBIA AONDOKE NA ACHUKUE NA VITU VYAKE AONDOKE NAVYO LASIVYO ANAITA POLISI KWAMBA MSHIKAJ KAJA KUFANYA FUJO, JAMAA KUEPUSHA FEDHEA AKACHUKUA VITU VYAKE NA KUONDOK, PIKIPIK YANGU ILIKUW NJE JAMAA AKAPIGA PICHA PLATE NUMBER NA KAAHIDI KUWA MIMI NAYEYE HATUJAMALIZANA ATANITAFUTA FOR ANY COST,

USHAURI WAKUU
 
Ungetoka nje mpambane unakuaje muogamuoga wakati wewe ndo unalipa kodi

Back
Top Bottom