jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,192
- 42,896
Komaa ndio uanaume,acha kulialia.
SINGO MAZA ALINIKATAZA NISITOKE ASEEEEHNa jamaa keshakuona Boya lazima aaje akuoshee kijiweni kwako
Mkuu ni hatari kijana kuingia kwenye Mahusiano na Single mother tena huyo Single mother hawe siyo Muislam, Mwanamke mwenye mtoto hana Mapenzi tena. Ukiwanae kwenye Mahusiano kama Mwanaume hujaoa basi unatakiwa kumkimbia, kwasababu hawana malengo wao wanakua na Malengo yao na Mtoto wake tu yani hamuwezi kupanga malengo ya kimasha yani yeye akili yake yote na mapenzi yake na mawazo yote yapo kwa mtoto wake tu, yani ukimfungulia Biashara itakufa kwa kutumia mtaji kwenye malengo yake binafsi mfano kununua kiwanja cha mtoto wake na kuanza kumjengea yani hata kama umezaa nae watoto 4.Hayo ni mambo ya kuongea nae huyo mwenzio kwa uwazi,na ukitaka akuelewe vizuri uwe unamwambia wakati mkuyenge umemuingia
Pili tuache kuwadhalilisha hawa masingo maza kwa kuwapakaza sifa za kuwa watu wabaya ambao hawaeldwi kitu,kwamba ni wabinafsi
Inabidi huyu single mother wa mtoa mada akupe namba ya mganga wake SeranDAAAH LEO KIDOGO NIFE WADAU, BABA MTOTO NAONA SIJUI KAPATA LIKIZO MAANA LEO ASUBUHI KAJA HAPA TUNAPOISHI BILA TAARIFA, ASUBUHI MIDA YA SAA MOJA HIVI MLANGO UMEGONGWA, SINGO MAZA AKAFUNGUA KUMBE NI BABA MTOTO NDIYO YUKO MLANGONI,. SINGO MAZA AKASHITUKA AKAFUNGA NA KURUDI NDANI, AKANIAMBIA BABA MTOTO WAKE YUKO NJE HIVYOO YEYE ANATOKA NA MTOTO NJE HALAFU MIMI NIBAKI NIFUNGE MLANGO KWA NDANI. HIVYOO WAKATOKA....
KUMBE BABA MTOTO ALISHAUSOMA MCHEZO AKAWA ANAPIGA KELELE NA KUTUKANA SANA KAMA KWELI MIMI NI KIDUME NIFUNGUE MLANGO, KAPIGA SANA KELELE JARIBU SANA KUSUKUMA MLANGO NITOKE NDANI AKIDAI ANATAKA ANIJUE KWAMBA CHOCHOTE KITAKACHO MPATA MTOTO WAKE NTAWAJBIK HIVYO AKAWA ANAFOSI NIFUNGUE MLANGO LAKINI SINGO MAZA AKAWA ANANIAMBIA NISIFUNGUE,
UKAZUKA NJE UGOMV WA SINGO MAZA NA BABA MTOTO WAKE,, MSHIKAJ AKANITUSI SANA NA KUNIAMBIA NIMEMUHARIBIA FAMILIA YAKE AKAWA ANASISITIZA NIFUNGUE MLANGO MIMI NIKAMWAMBIA ASOGEE DIRISHAN MAANA SINGO MAZA ALINIAMBIA NISIFUNGUE MLANGO,,,
SINGO MAZA AKAWA ANAFOKA NAYE ANAMWAMBIA BABA MTOTO WAKE AONDOKE ANAMSUKUMA ATOKE NA KUMTOLEA LUGHA MBAYA AKIDAI YEYE ASHAMOVE ON NA MAISHA YAKE JAMAA AKAPANIKI SANA JAPO ALIJIZUIA HAKUMPIGA MAMA MTOTO WAKE,
BABA MTOTO ALIKUWA AMEKUJA NA VYAKUL NA MAHITAJ MENGINE YA MTOTO SINGO MAZA AKAMWAMBIA AONDOKE NA ACHUKUE NA VITU VYAKE AONDOKE NAVYO LASIVYO ANAITA POLISI KWAMBA MSHIKAJ KAJA KUFANYA FUJO, JAMAA KUEPUSHA FEDHEA AKACHUKUA VITU VYAKE NA KUONDOK, PIKIPIK YANGU ILIKUW NJE JAMAA AKAPIGA PICHA PLATE NUMBER NA KAAHIDI KUWA MIMI NAYEYE HATUJAMALIZANA ATANITAFUTA FOR ANY COST,
USHAURI WAKUU
Kwanini usiwe unamfata na Boda yako na uwe unampeleka Asubuhi ili kubana matumizi.HIYO 50000 NI KWA AJILI YA SKUL BUS KILA MWEZI
ADA NI MILIONI MOJA HIVYOO 250000 KILA ROBO MUHULA.
Ume generialize hoja kuwa kila single mother yuko hivyoMkuu ni hatari kijana kuingia kwenye Mahusiano na Single mother tena huyo Single mother hawe siyo Muislam, Mwanamke mwenye mtoto hana Mapenzi tena. Ukiwanae kwenye Mahusiano kama Mwanaume hujaoa basi unatakiwa kumkimbia, kwasababu hawana malengo wao wanakua na Malengo yao na Mtoto wake tu yani hamuwezi kupanga malengo ya kimasha yani yeye akili yake yote na mapenzi yake na mawazo yote yapo kwa mtoto wake tu, yani ukimfungulia Biashara itakufa kwa kutumia mtaji kwenye malengo yake binafsi mfano kununua kiwanja cha mtoto wake na kuanza kumjengea yani hata kama umezaa nae watoto 4.
Kuna watu hamnaga akili sijui kwanini! Sasa akiwa muislamu ndio inakusaidia wewe nini?Mkuu ni hatari kijana kuingia kwenye Mahusiano na Single mother tena huyo Single mother hawe siyo Muislam, Mwanamke mwenye mtoto hana Mapenzi tena.
Hahahaha 😂 😂Nyie endekezeni nyege😃
Mimi nimeishi kwenye jamii za Kiislam hasa Zanzibar wao kule Wanawake % 99 wanazaa ndani ya ndoa uzuri wao. Ubaya wao Wanaachika sana yani kwenye Wanawake 10 Waliozaa watoto mfano Watoto 6 utakuta Watoto wawili ndiyo wa Baba mmoja waliobakia kila mtoto na Baba yake na kila Baba anatoa huduma kwa Mtoto wake aliyemzaa. Sasa Mwanamke akiolewa kwa mara nyingine Watoto aliyezaa na Wanaume wa Mwanzo anawapeleka kwao na yeye anaenda kuanza maisha mapya. Na ukuti akimwambia Mume wake awalipie Ada na malezi watoto ambao hajazaa nae, Tofauti na Wanawake wa Kikristo wao Wana zaa nje ya ndoa na Baba hawajulikani sasa huyu Mwanamke itabidi atafute Mwanaume Mwingine ili kuhudumia mtoto wake au watoto wake yani Mwanamke anaingia kwenye Mahusiano ili akuze mtoto, Tofauti na Mwanamke wa kiislamu yeye anaingia kwenye ndoa siyo kwaajili ya kulelewa watoto ila wanaingia kwenye ndoa ili wasizini, na ndiyo Maana Wanawake wa Kiislamu wanaolewa hata mara 6 kote huko ame zalishwa na anaolewa tena. Kwahiyo utofauti ndiyo huo Mwingine anapeleka watoto wake kwao ili aanze ndoa yake mpya na huku Tanganyika Mwanamke analazimisha kuishi na mwanaume ili alelewe Mtoto wake ni sawa na kumrithisha Mwanaume Deni la Mwanaume Mwingine ili alilipe.Ndiyo Maana vijana wanakataa kurithi Deni la mtu. WAISLAMU WAO MAMA MMOJA BABA WENGI, TANGANYIKA BABA MMOJA MAMA WENGI.Kuna watu hamnaga akili sijui kwanini! Sasa akiwa muislamu ndio inakusaidia wewe nini?
Duhh hii kasheshe!Mimi nimeishi kwenye jamii za Kiislam hasa Zanzibar wao kule Wanawake % 99 wanazaa ndani ya ndoa uzuri wao. Ubaya wao Wanaachika sana yani kwenye Wanawake 10 Waliozaa watoto mfano Watoto 6 utakuta Watoto wawili ndiyo wa Baba mmoja waliobakia kila mtoto na Baba yake na kila Baba anatoa huduma kwa Mtoto wake aliyemzaa. Sasa Mwanamke akiolewa kwa mara nyingine Watoto aliyezaa na Wanaume wa Mwanzo anawapeleka kwao na yeye anaenda kuanza maisha mapya. Na ukuti akimwambia Mume wake awalipie Ada na malezi watoto ambao hajazaa nae, Tofauti na Wanawake wa Kikristo wao Wana zaa nje ya ndoa na Baba hawajulikani sasa huyu Mwanamke itabidi atafute Mwanaume Mwingine ili kuhudumia mtoto wake au watoto wake yani Mwanamke anaingia kwenye Mahusiano ili akuze mtoto, Tofauti na Mwanamke wa kiislamu yeye anaingia kwenye ndoa siyo kwaajili ya kulelewa watoto ila wanaingia kwenye ndoa ili wasizini, na ndiyo Maana Wanawake wa Kiislamu wanaolewa hata mara 6 kote huko ame zalishwa na anaolewa tena. Kwahiyo utofauti ndiyo huo Mwingine anapeleka watoto wake kwao ili aanze ndoa yake mpya na huku Tanganyika Mwanamke analazimisha kuishi na mwanaume ili alelewe Mtoto wake ni sawa na kumrithisha Mwanaume Deni la Mwanaume Mwingine ili alilipe.Ndiyo Maana vijana wanakataa kurithi Deni la mtu. WAISLAMU WAO MAMA MMOJA BABA WENGI, TANGANYIKA BABA MMOJA MAMA WENGI.
HILI NI DENI KWELIMimi nimeishi kwenye jamii za Kiislam hasa Zanzibar wao kule Wanawake % 99 wanazaa ndani ya ndoa uzuri wao. Ubaya wao Wanaachika sana yani kwenye Wanawake 10 Waliozaa watoto mfano Watoto 6 utakuta Watoto wawili ndiyo wa Baba mmoja waliobakia kila mtoto na Baba yake na kila Baba anatoa huduma kwa Mtoto wake aliyemzaa. Sasa Mwanamke akiolewa kwa mara nyingine Watoto aliyezaa na Wanaume wa Mwanzo anawapeleka kwao na yeye anaenda kuanza maisha mapya. Na ukuti akimwambia Mume wake awalipie Ada na malezi watoto ambao hajazaa nae, Tofauti na Wanawake wa Kikristo wao Wana zaa nje ya ndoa na Baba hawajulikani sasa huyu Mwanamke itabidi atafute Mwanaume Mwingine ili kuhudumia mtoto wake au watoto wake yani Mwanamke anaingia kwenye Mahusiano ili akuze mtoto, Tofauti na Mwanamke wa kiislamu yeye anaingia kwenye ndoa siyo kwaajili ya kulelewa watoto ila wanaingia kwenye ndoa ili wasizini, na ndiyo Maana Wanawake wa Kiislamu wanaolewa hata mara 6 kote huko ame zalishwa na anaolewa tena. Kwahiyo utofauti ndiyo huo Mwingine anapeleka watoto wake kwao ili aanze ndoa yake mpya na huku Tanganyika Mwanamke analazimisha kuishi na mwanaume ili alelewe Mtoto wake ni sawa na kumrithisha Mwanaume Deni la Mwanaume Mwingine ili alilipe.Ndiyo Maana vijana wanakataa kurithi Deni la mtu. WAISLAMU WAO MAMA MMOJA BABA WENGI, TANGANYIKA BABA MMOJA MAMA WENGI.
🤣🤣🤣Majukumu yasiyo lazima.
Huyo dem ungekua ukijisikia hamu unamuita unajipigia, unampa 10000 ya usumbufu anaondoka zake.
Wewe ukaona ni bora uvute familia nzima uishi nayo.
Halafu wote sio ndugu zako.
Huyo demu sio ndugu yako, mtoto sio ndugu yako, mfanyakazi sio ndugu yako. STRANGERS!!!!
Mzee umeuvagaa mtumbwi wa vibwengo pambana.
Halafu pamoja na Majukumu yote hayo bila shaka bado kuna siku huwa unanyimwa unyumba bisha.
Je kama mama yake ndio anamtumia hela kijana wake kutoka huko shamba alipo?Mwana kulitaka mwana kulipata. Na je mama yako uko shamba unampatia bei gani kwa mwezi?
Kazi ni kipimo cha utu