babu tale

Hamisi Shaban Taletale, also known as Babu Tale (born 31 December 1982), is a Tanzanian talent manager and a politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Morogoro South constituency since November 2020. He is the co-founder of the WCB Wasafi music label. Tale represents artists including Diamond Platnumz, Madee, Rayvanny, Mbosso, Rich Mavoko, and Dogo Janja. Through Rayvanny, Tale was the first manager to bring BET Award wins to Tanzania and the first in Africa to win MTV Europe Music Awards for both "Best African Act" and "Worldwide Act" through Diamond Platnumz's major win in 2015. He helped to build names for Bongo Flava now-owned music stars such as Tundaman, Mb Doggy, Keyshia and Z Anto.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Kwanini tusije na Ambulance ndani ya SGR?

    Mbunge, Taletale amependekeza kuwa Serikali ije na SGR ambulance kwa kuwa kuna wagonjwa wanakiwa wanahitaji huduma ya magari ya wagonjwa kutoka Morogoro kwenda Muhimbili ila hawana uwezo hivyo kwa kuja na hiyo SGR Ambulance itakuwa imewasaidia wananchi wengi. Hayo ameyasema bungeni wakati...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Muhimbili kuna changamoto ya magari ya Wagonjwa, kuna ushahidi yapo mawili tu

    Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, ni kweli Ugonjwa wa homa ya ini unaambukizwa kwa kupiga chafya au kugusana kama anavyosema Babu Tale

    Wakuu nimekaa nafuatilia bunge hapa nikamsikia Babu Tale anasema Ugonjwa wa homa ya ini unaambukizwa kwa kupiga chafya au kugusana. Je, ni kweli?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Leo naondoka na mshahara wa Makonda na Mwana FA sijaona bajeti ya Arena ikizungumziwa

    "Waziri amezungumza hapa sijaona amezungumza bajeti ya Arena...ndugu yangu Makonda leo, kama mama anakuombea Dua nyumbani, mshahara wako naondoka nao...Mwana FA mshahara wako naondoka nao...ndugu zangu mtanisamehe Taifa kwanza udugu baadae..."- Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Mbona Injinia wa uwanja wa Uhuru hajaacha sehemu za kufukia dawa?

    Huyu jamaa anapenda ulozi sana! Hata jimboni kule wenzie walililamika hilo ========== Hoja ya Mbunge Babu Tale mbele ya Waziri Makonda kuhusu kuachwa kwa maoneo ya kufukia Dawa Viwanjani
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babu Tale sina mpinzani jimboni Morogoro Kusini Mashariki, ndio maana nimeshinda kwa asilimia 91

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale ameeleza sababu ya yeye kukosa upinzani kwenye jimbo lake ambalo ameshinda kwa asilimia 91.
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Picha: Mgombea Ubunge (CCM) Morogoro Kusini Mashariki, Babu Tale agawa Kitenge na yeboyebo kwenye Mkutano wa Kampeni

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) hapa mmefumba macho hamjaona kilichotokea ila kazi ni kushinda kutuma tu meseji kwa wananchi kupambana na rushwa, ajabu hadi Polisi wapo hapo wanachekelea kwenye picha wamesahau wajibu wao :FeelsWeirdMan: -------------- Mgombea Ubunge Jimbo la...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babu Tale: Nitawajengea Kisima cha Maj wakazi wa Bwawani, ili kuondoa adha ya kuchangia maji na mifugo

    Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamisi Taletale, amesema kuwa endapo wakazi wa Bwawani, Kata ya Mkambarani, watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao, atahakikisha anatekeleza mradi wa kuchimba kisima cha maji ili kuondoa adha...
  9. vnn

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi kweli Babu Tale ni wa kuongoza Kura za maoni?

    Ni kama vile wananchi hawako serious na maisha yao! Mimi nitoe Rai tu kwa waliopo kwenye mifumo pigeni kadri mnavyoweza msionee huruma wajinga wasiojitambua Ujinga ni laana
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

    Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wameogopa kusema Babu Tale Kanga alikuwa anagawa za nini?

    Babu Tale anagawa Kanga za nini? Yaani wakupe miaka Mitano wewe uwape pea ya Kanga, TAKUKURU muwe mnatupa ripoti kama hizi tujue mlichukua hatua gani, au alisemaje. TAKUKURU msikalie Ripoti za namna hii. April April 10 mwaka huu 2022, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale, ambaye ni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kaka wa Babu Tale, Iddi Shaban Taletale autaka udiwani wa Makurumla, Ubungo kupitia CCM

    Iddi Shaban Taletale ambaye ni Kaka wa @babutale amechukua fomu tayari kujitosa kuwania Udiwani Kata ya Makurumla Ubungo jijiini Dar Es Salaam. Source: Crown TV
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yani bado kwa Karne hii Mbunge Babu Tale Anagwa Vitenge Vya CCM Jimboni Kwake, Hii ni kukosa Sera za Kushawishi Wananchi

    Wananchi Wahoji Kama Karne hii Bado Watu Wanaongwa Vitenge Na Khanga Tazama video hii wananchi wakipewe Vitenge huko jimboni na babu TALE
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale: Utawala wa wakoloni ndio umetufikisha hapa

    Miaka zaidi ya 60 baada ya uhuru kuendelea kuwa na matatizo yanayojirudia kila siku, Scanning Officer maoni ya Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki Hamis Shabani Taletale (Babu Tale) anadhani tunafeli wapi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale: Sina la kusema kuhusu utekaji sababu hakuna aliyewahi kutekwa jimboni kwangu, ya sehemu nyingine hayanihusu

    Wakuu, Alooo hii kali🤣🤣🤣 kama utupu kichwani ungekua mtu basi angekuwa Babu Tale! Yanayomhusu ni ya jimboni kwake tu hayo mengine yanayotokea sehemu nyingine sio kazi yake, hayamhusu na hataki kuyasikia. Jamaa anasema kilichompeleka bungeni ji kudai hiyo barabara tu na mwaka huu Rais karidhia...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale: Bunge ni la kila mtu waliosoma na wasiosoma

    Kigezo cha elimu ya mbunge umekuwa ni mjadala ambao umekuwa ukijirudia mara kwa mara Hamisi Taletale Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki ameeleza unamtazama mtu kama Msukumua IQ aliyonayo akuipatia darasani mawazo na mchango anaochanga kuishauri serikali ambapo kuna watu wa PhD lakini awawezi...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Majibu haya ya Babu Tale ni dhahiri kuwa hafai kuwa Mbunge, hawezi kutatua changamoto hata kwa hoja

    Mwandishi kampiga spana za kutosha ndugu Mbunge, ila mbunge amekuwa na majibu ya mtu wa kawaida sana na mengine kuashiria hajui mahitaji ya wananchi ni nini, yeye anataka kulinganisha Tanzania zidi ya Nchi Masikini zaidi kama Mali na Zambia. Na anasahahu kuwa Tanzania ipo kwenye Top 10 ya Nchi...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale: Kuna vijiji 64 kwenye jimbo langu na hakuna kijiji ambacho hakina umeme

    Wakuu, Najua kuna wadau humu mnaishi huko Morogoro, hebu tuambieni kila kijiji kwenye jimbo la Babu Tale kweli kina umeme?
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Babu Tale awakabidhi Wananchi wa Kata ya Ngerengere gari la kubebea Wagonjwa

    Mbunge Babu Tale ameandika "Mapema leo tarehe 23 Desemba, 2024, tumemaliza kilio cha muda mrefu kilichokuwa kikitokana na kukosekana kwa Gari la kubebea wagonjwa katika Kata ya Ngerengere. Ninamshukuru sana Mheshimiwa Rais kwa kuendelea kutupenda wana Morogoro kusini mashariki. Afya ni moja ya...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mbunge Hamis Taletale Atimiza Ahadi: Aondoa Changamoto ya Maji Chumvi Katika Vijiji vya Mgude na Ngerengere

    Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale ametimiza ahadi yake kwa Wananchi wa kata ya Ngerengare baada ya kufanikisha kupatiwa huduma ya maji baridi ambapo jumla ya matanki matatu yametolewa na Serikali kusambaza maji katika Vijiji viwili vya Mgude na Ngerengere. Kwanzia sasa Vijiji...
Back
Top Bottom