Sina nia mbaya, naomba kujua Elimu ya Babu Tale

Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bingeni kweli?

Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge unatosha hapana. Tupambane sana tupate tu katiba mpya maana,tunajidhalilisha sana.

Mbona Musukuma ni STD7 lakini ana point za kuwakilisha jamii? Nikipata CV yake na quote zake mbalimbali labda kwenye mitandao ni sawa pia
Kuna pesa ya bure.. Ila Bongo hamna tofauti ya ngumbaru na phd
 
Hawa wabunge wangetakiwa walipwe Kama waalimu wa shule za msingi alafu tuone Kama wangekimbilia huo ubunge
 
Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya kutuwakilisha bungeni kweli?

Unaweza kuwa mzuri kwenye muziki lakini haimaanishi hata kwenye ubunge unatosha hapana. Tupambane sana tupate tu katiba mpya maana,tunajidhalilisha sana.

Mbona Musukuma ni STD7 lakini ana point za kuwakilisha jamii? Nikipata CV yake na quote zake mbalimbali labda kwenye mitandao ni sawa pia
Ameishia Darasa la 6 (A)

Alikuwa anakuwa wa 3 midterm
 
"naomba vyeo vya Rais viondolewe mfano sijui rais wa tff itolewe Rais abaki samia tu, mfano unakuta mtu kiatu chake kina vumbi, ni kulidhalilisha neno Rais, ndio maana mimi nilijiita babu"

Na huyu ndio anategemewa kutunga sheria

Kila nikisikia haya maneno Naona aibu mimi , c bora awe anakaa kimya tu , anazid kututia hasira mbwa huyu , na laana ya kumtoa kafara mke wake itaendelea kumtafuna
 
Back
Top Bottom