DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,966
- 11,457
Let's say simba inapendelewa, vp yanga huwa haipendelewi?Shida ya mpira wa miguu ikitokea makosa ya aina ile yanaweza kusababisha wachezaji kutoka nje ya mchezo. Na sidhani kama mnafahamu wachezaji wengi wa timu ndogo wanahisi mnapendelewa na waamuzi.