Kipa familia yetu makoloHaya magoli wangekuwa wanafunga Yanga halafu golikipa amesimama tu, kuna vilaza wangesema GSM anaharibu ligi.
poleni sana utopolo, mlijua vitachachaHaya magoli wangekuwa wanafunga Yanga halafu golikipa amesimama tu, kuna vilaza wangesema GSM anaharibu ligi.
Vipi, GSM hajamhonga kweli huyu golikipa wa Pamba?Ubaya Ubwela
Pole ya nini sasa! Hata mshinde mechi zote, bado Yanga atabakia kileleni.poleni sana utopolo, mlijua vitachacha
La Tatu kafunga nani?Vitatu
AhouaLa Tatu kafunga nani?
Kheeh kumbee? Bas ni gud sanaa.Ahoua goli zote 2
Moderator mwiko nyuma bona ubao unasoma 2?😀😀😀Ahoua
Mumshukuru sasa GSM kwa kuwazawadia huu ushindi. Au ni Yanga pekee ndiyo huwa inashinda kwa bahasha za GSM!Kheeh kumbee? Bas ni gud sanaa.