Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 7,045
- 12,537
Hiyo ni maana halisi ya SimbaSC NguvuMoja #UbayaUbwelaSasa hivi Simba ushindi sio wa kuuliza. Lazima ishinde.
Iwe refa
Iwe penati
Iwe red card
Iwe dakika 140
Lazima tushinde tu. Ninyi jitahidi kuvichachisha viporo, lakini vitaliwa tu.